Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

Mkuu,
Wapo watu mpaka leo wanaona aibu tu kuhamia CDM. Chanzo cha aibu ni nafasi zao nyeti serikalini. wengi wao wameshachukua kadi CDM na wanasubiria 2014;2015 kabla ya uchaguzi. Baada ya hapo utaona kwa macho yako mwenyewe!!.

ndio walisha sumu, wamwagia watu tindikali, wapora wake za watu na wasaliti wa kanisa mnavyodanganyana kwenye vilabu vya pombe za kienyeji?
 
Mkuu kubali au ukatae, CCM ilizaliwa, ikakuwa, na sasa baada ya kuzeeka iko hoi na haina mvua mbili itakuwa tayari imeshaingia vitambu vya kumbukumbu. Kama hutaki tulia utaona nachokwambia very soon

ufipa fc, ww njaa inakusumbua, umeshaingiza hilo jero lako kwa hii post nenda kanywe chai, ccm ipo sana labda baada ya miaka 56 ijayo ndio tutaanza kufikiria hilo wazo lako. Mwigulu ataendelea kuharibu mipango ovu ya kigaidi hadi muishe wote
 
Nikipata nafasi ya kuandika historia ya mwisho nitaandika hivi: CCM Ulikuwa mwema na malengo mazuri kwa watu wote wakulima,wafanyakazi na wanafunzi hata wafanyabiashara uliwajali sana ulikuwa unapendwa na watu wote. Ooh Utakumbukwa kwa mwanzo wako lkn ulipoingiza ubinafsi rushwa ukabila udini ufuska tamaa makundi ndipo tulikuona na dalili zote za umauti! kama hadithi sasa umetutoka nenda mwanakwenda hata ndoto yako isitokee kwangu na watoto wangu
 
Hongera sana mwigulu nchemba madelu lameck..magaidi hayalali yanakuota ww tu.yabane hadi yaache kuuwa
 
Mkuu,
Wapo watu mpaka leo wanaona aibu tu kuhamia CDM. Chanzo cha aibu ni nafasi zao nyeti serikalini. wengi wao wameshachukua kadi CDM na wanasubiria 2014;2015 kabla ya uchaguzi. Baada ya hapo utaona kwa macho yako mwenyewe!!.

ufipa fc new idiot member! Karibu utumike kijana.
 
wewe ni mgeni hapa jukwaani umekuja kwa pupa ili utumike. Kwa taarifa yako ccm ilikuwepo,ipo na itaendelea kuwepo. Cha msingi ni ww kuwashauri akina lwakatare, slaa, ben sa8, kilewo na genge lao lote la chadema kuacha kuua watu kwa tindikali sumu na mabomu

Mkuu,
Mimi nimekuwa mgeni JF siku nyingi na sasa nikaona nitoe yangu ya moyoni.
Binafsi niseme wazi kuwa sina chama japo napenda siasa safi na kuheshimiana. Ninaamini kuwa siasa inayodumu ni ile inayobebwa na hoja sio kuwatangaza watu na mambo yao majukwaani bila sababu ya msing.

Mfano, CCM kipind hiki haifanyi siasa kabisa!. Rejea statement yako hapo juu; ukishaanza kuwaandama watu binafsi katika siasa bila kuangalia nguvu na misukumo ya watu hao na sera zao, huwezi kufika mbali. Lazima wakuaache polini tu!!. Umeona Mnyika alivohandle matamko ya CDM kipindi chote tangu bomu la Soweto?. Umeona Kigaila naye?. Unajifunza nini?. CDM sio mtu bali ni taasisi.

Kitendo cha CCM kuwashambulia viongozi wa chadema (Mbowe, Slaa, mnyika,Lissu nk) ni kosa kubwa ambalo badala ya kukuza CCM inabomoa na kupoteza muda mwingi.Kila wakati viongozi wa CCM wanapotowa press conf zao, utasikia Chadema!, chadema!, chadeam!, mbowe, mbowe, mbowe, slaa slaa nk. Mimi ni mmoja wa watu ambao sikupenda siasa lakini baada ya tukioa la bomu Kanisani Vs Mkutano wa CDM;Arusha . Ukiangalia utakuta ni mkoa ulele, watu walewale, bomu lilelile, HARAFU; mwitikio wa Rais na Serikali yake, Bunge, Vyombo vya ulinzi, unajua kabisa ahaaaaaa!. Kumbe kanisani walikuwa watu na mkutanoni ?????. Hii tu ikanifanya kuamini kuwa CDM ndiyo chama cha kweli kinachowapenda watanzania na kuwajali.
 
Mbona yule muhuni Mwigulu Nchemba analijua hilo, siunaona wanavyotoa kauli za kipumba vu bungeni na magogoni?

CCM ni genge la wahuni wanaoiba rasilimali za Taifa wakisaidiwa na mabwana zao wanaowaita wawekezaji
 
wewe ni mgeni hapa jukwaani umekuja kwa pupa ili utumike. Kwa taarifa yako ccm ilikuwepo,ipo na itaendelea kuwepo. Cha msingi ni ww kuwashauri akina lwakatare, slaa, ben sa8, kilewo na genge lao lote la chadema kuacha kuua watu kwa tindikali sumu na mabomu


.... so what?!!!
 
Umekosea kusema ukweli, CCM wanapenda kusifiwa kwa kila kitu, yaani ikiwezekana hata nyekundu uíite njano ili kuwafurahisha, na kwa kukuthibitishia hilo subiri kije kikosi chao cha mashambulizi ya matusi na kashfa wakiongozwa na thatha, Sumu, Lilambo na Simiyu yetu, you'll pay for the truth you have just said.. Mark my words.
 
Na ndiyo maana baada ya ccm kugundua kwamba hawana maisha wameamua kuuza maliasili na ardhi bila woga wala aibu yoyote ( hiyo inaitwa fainali uzeeni ) , nakuhakikishia kwamba hakuna kiongozi yeyote wa ccm hivi sasa mwenye lengo la kuleta maendeleo nchi hii , iwe kwa uwazi au kwa siri , Achana na hivi viperepete vyao vinavyopiga kelele humu jf , SHAME ON CCM !
 
walikuwepo na sasa hapo tena,kila linaloendelea hapa duniani,siku za usoni itakuwa ni historia
 
Naona vijana wa wajasiriamali wa Green Guards wametaharuki na uzi huu.Huu ni mtazamo wa mleta mada kwa namna alivyofanya uchunguzi wake na kujirizisha hivyo punguzeni munkari.
 
Hongera sana mwigulu nchemba madelu lameck..magaidi hayalali yanakuota ww tu.yabane hadi yaache kuuwa
(Huko alipo mwigulu ameshaona dhambi zake,hata umsifie vipi moyoni mwake anajihukumu mwenyewe kwa damu alizosababisha zimwagwe!)
 
Mkuu MBUZIMTU, kwanza hongera! unaonekana wewe ni mpya humu, asije akaku priempty mtu mwehu yeyote, take is as a challenge majukwaani, kuna vichaa humu na wasio na point kila siku wakifuka kwa pumba zao na matusi, usiogope!
 
mkuu umefanya utafiti sahihi kwa sababu ccm itashinda tena uchaguzi mkuu ujao na kuifanya iongoze tena watanzania ikiwa na rais wa tano kwa hali hii lazima iendelee kubaki kwenye makumbusho ya taifa.
 
(Huko alipo mwigulu ameshaona dhambi zake,hata umsifie vipi moyoni mwake anajihukumu mwenyewe kwa damu alizosababisha zimwagwe!)

jana mlimzushia kamatwa na polisi yamefika wapi sasa ataendelea kuwachana.
 
hakuna kitu kibaya kama kuanza na viroba asubuhi badala ya chai au supu.
 
Back
Top Bottom