Hiyo ni rasimu tu wewe. Unaanza kuhesabu mayai hata kabla ya kuku hawajatotoa.
Kwanza hujielewi,mayai yanatotolewa na kuwa mayai tena? Au ni vifaranga? Umeshajijibu mwenyewe huwezi kutotoa kama hauna mayai,ni kweli najihesabia mayai kwa maana hilo umerithibitisha mwenyewe,kwani huwezi kutotoa kama hakuna mayai.
Unaongea pumba wewe. Na mimi huwa sina muda na waongea pumba. Watafute waongea pumba wenzako ili mziendeleze hizo pumba zenu.
Radhia dada yangu hata kama hii ndio rasimi lakini ndo mtizamo wa wananchi na ndo inakwenda kuwa katiba kwa sababu yaliyomo mengi wananchi wanayakubali naninacho kuambia wale wazee awatakubali kabisa kutuletea katiba mbovu kwa sababu wao ndio wanamaamzi ya mwisho kwenye uchambuzi nacho kiamini katiba itakayo kidhi matakwa ya wananchi ndiyo itakayopatikana chini ya waryoba, baregu, na wengine wote
Unaongea pumba wewe. Na mimi huwa sina muda na waongea pumba. Watafute waongea pumba wenzako ili mziendeleze hizo pumba zenu.
Umeanza vizuri ila huo mstari wa tatu kutoka mwisho, umeharibu kaka CCM haina bahati tena ya kurudi madarakani kwani hata walio ndani ya CCM wenyewe wanalitambua hilo.
Buriani CCM katiba mpya inakuja kuwazika
kunawatu huwa siwaelewi ukisema anguko la ccm na serikali yake kwani hii rasimu imeandaliwa ccm na serikali yake haya mawazo mfu hayatasaidia yawezekana mkuu unajifariji mimi ninachojua wenye maamuzi ya haya mambo ni watanzania wala siyo wewe.
hayo ni mawazo yao kwani mnyika na msigwa wananini kwenye vichwa vyao,mnyika hata shule kakimbia,sitta alisema msigwa ni mhuni wa kawaida tu.
Katiba kama itakuwa hivi, haiibani ccm na wabunge tu. Inavibana vyama vyote na wabunge wake hasa kile kitakachokuwa madarakani. Ccm itaondoka watakuja tlp,cdm au nccr nao itawakaba tu. Jambo la msingi ni kila chama kujizatiti na sio kusema ccm na wabunge watabanwa na hiyo new katiba.
Unaongea pumba wewe. Na mimi huwa sina muda na waongea pumba. Watafute waongea pumba wenzako ili mziendeleze hizo pumba zenu.
mkuu nakubali kukosolewa kwa kuwa mimi siyo CCM ukiwakosoa jiandae kutobolewa jicho,kung'olewa meno na kucha bila ganzi.
nipo tayari kwa hilo lakini niongee ukweli Hakuna sababu ya kuirudisha CCM madarakani, miaka 51 tangu uhuru ukiangalia mafanikio siyo makubwa sana kama wizi walioufanya
Mara zote nimependa kutokuwa na siasa za kishabiki, tangu uchaguzi wa mwaka 2010 umarufu wa chama hiki kikongwe ulianza kuporomoka japo haikuwa kwa kasi kubwa, lakini kuanzia mwaka 2013 kasi ya kuporomoka imekuwa bayana, katika historia ya chama hiki sikuwahi kusikia eti kimeshindwa kusimamisha mgombea katika chaguzi ndogo mfano za vitongoji, vijiji na kata. Lakini hayo mambo kwa chama hicho ni kawaida tu kukosa wagombea wa kusimamisha
Ipo mifano mingi ambayo ccm kwa miaka ya hivi karibuni baadhi ya maeneo katika chaguzi ndogo hawasimamishi wagombea, huko ni kuporomoka, na hii inamanisha kwamba katika baadhi ya maeneo hakikubaliki kabisa
Dalili nyingine ya kuporomoka kwa ccm ni hali inayoendelea sasa, ccm imeamua kutumia dola zaidi kuthibiti upinzani badala ya kujenga hoja au kuelezea nini walichokifanya kutekeleza ilani yao. Inashangaza sana kusikia kiongozi wa ccm na msomi kabisa Bwana Mwigulu nchemba anaongoza siasa chafu za matusi, uongo na mipango michafu ili kudhibiti upizani huko nako ni kuporomoka, wanajua fika wasipofanya hivyo hawezi kuvuka 2015
Suala la katiba ni la wananchi wote wa Tanzania , lakini kwa ccm limeonyesha kuwachanganya zaidi, mimi najiuliza kwa nini kuchanganyikiwa kote huko ? Rasimu iliyotolewa inaonekana kuwa ndio hasa watanzania walio wengi walikuwa wakiitaka kwa muda mrefu, sasa imekuja hawa ccm wanachanganyikiwa tena , binafsi sielewi kwa nini wamechanganyikiwa kiasi hiki, wanamshambulia mzee WARIOBA, wakumbuke wajumbe wa tume ile ni zaidi ya WARIOBA
wamo majaji wengi , wanasheria pia na watu wengine wenye weledi wa kutosha.
Hivi tunategemea mapendekezo ya wanaccm wakupandikizwa kwenye mabaraza yakatoa mapendekezo sahihi tunayoyahitaji ?
Wanakubali wanakataa ukweli ni kwamba ccm imeporomoka na imekosa mvuto kwa watanzania, wanao muda wa kujitafakari na kuangalia ni wapi walipojikwaa, hilo linaweza likawasaidia, naiona ccm 2015, ikiwa nyuma ya vyama vingi vya upinzani, sioni tena kama inaweza ikaongoza nchi hii endapo haitajirekebisha

We ulijua watavuka apo?