Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
Anguko la CCM ni la kishindo na historia ya CCM itapotea kabisa kwenye vinywa vya wananchi zaidi kutaja mabaya yaliyofanywa na CCM.
Kila nikizungumza na mtu awe mwanafunzi, mkulima,mfanyakazi n.k CCM inalaumiwa sana,hii ni kutokana na maisha kuwa magumu.Lakini wao(CCM) wanasema wameleta maendeleo,sijui ni maendeleo yapi? Kazi kujisifia tu,wakati hakuna lolote.
Ukitaka kujua kuwa serikali ya CCM haijafanya kitu,tumia mfano huu; Enzi za mwalimu Nyerere hawa viongozi wote walisoma bure toka chekechea hadi chuo kikuu.
Lakini leo,gharama za kusoma ni juu ya mzazi,halafu wanasema tumeendelea. Ukiwauliza watakwambia idadi ya wanafunzi ni kubwa. Ok ni kubwa lakini mbona tumeendelea? Hayo maendeleo yanakwenda wapi?
Enzi za mwalimu hapakuwepo na uchimbaji madini,lakini watu walikuwa wanasoma bure.Leo hii,madini yanachimbwa faida hakuna,wawekezaji kibao faida hakuna.
Sasa,hayo maendeleo ni ya nani? Au mnavyojenga nyumba,barabara n.k ndio maendeleo? Maendeleo yanapimwa qualitatively(standard of living) and Quantitatively(physical assets like roads,buldings).Sasa ndugu zangu CCM wakiona majengo makubwa,barabara ndiyo basi wanajisifia!,Ndugu,bila kuondoa umaskini barabara,maghorofa n.k ni bure.Watu hawali barabara au majengo.
Narudi kwenye mada ya msingi,anguko la CCM litakuwa la kutisha.Wanachama wengi wa CCM,wako kimaslahi na kwa sasa wako njia panda baada ya kuona CCM imeshikwa pabaya.Ukizungumza nao wanasema CCM ikipigwa chini,sisi(wao) wanahamia chama tawala.Sasa najiuliza,CCM siku imeshindwa itabaki na nani? Au Nnape na Mwigulu ndiyo watabaki?
CCM,wanajifariji sana kuwa tuna wanachama vijijini,vyuo vikuu,wanajidanganya! Kwanza ukisema mtaani/chuoni kuwa niko CCM wanakucheka na kukuona mshamba.
CCM ikishindwa uchaguzi ujao na ninaamini inashindwa,haitakuwepo tena na jina la CCM litapotea, zaidi watu watakuwa wanaikumbuka kwa ufisadi,kubambikiza kesi na uzushi wa aina mbalimbali.
Na siku CCM imepigwa chini kuna watu watazimia,watahama nchi na wengine sura zao sijui watazificha wapi?
Mtu hana cheo wala wadhifa wowote CCM,maisha magumu kama mimi hapa,lakini anaisifia ccm na kuitabiria ushindi,ivi umerogwa na nani? Au ni njaa inakusmbua?
Kama ni kijana humu JF,hakuna haja ya kuishabikia wala kuwa CCM,kwani sina hakika kama CCM itatawala miaka 50 ijayo. Viongozi walio na miaka 60+ baada ya miaka 50 kuanzia sasa sio wenzio umri wao umekwenda,wewe ndiyo unakua,ni hatima yako kwa miaka hamsini ijayo? Hao mawazir sio wenzio,ukiendelea kuwafuata wanakuambukiza element za ufisadi kitu ambacho kitameza hata kizazi chako,
Vijana tubadilike hii nchi si ya watu wenye umri wa miaka 60+,bali ni ya kwetu.