Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Hatimaye chama kinachoongoza kwa kuita wengine saccos(Bila kujua saccos zinafaida),nacho kimeanza kuwa si tu kama saccos ila pyramid.
Anayevuna leo anapewa mbegu ya wa leo,mwishowe rate ya wapandaji ikiwa ndogo kuliko wavunaji tunashuhudia kinachotokea ktk pyramids. Sasa hivi CCM wanakwapua mali za nchi wakidhani madini na gesi zinalipa ktk uvunaji na karibu pyramid inakaibia kurikia ktk tip.Wakati wakicheka vyama ambavyo vinawakopesha wanachama wanaopaswa rudisha.
Leo hii hata uongozi ktk CCM unakatika ghafla,na anayeingia hakai muda anajikuta ni wa kutoka tena bila kitubila mbegu aliyopanda.
Sasa hivi si muda,tutashughudia mwigulu,kinana na wengine wakifuata njia ya mkama tena bila mbegu waliyopanda.