Kifo cha CCM kimetimia

Nikweli kabisa sisi wananchi tumekichoka hichi cha dhalimu, wauwaji wakubwa huku wakijidai wanatutea bungeni pia ni mafsadi. Magamba wakubwa na tutawang'oa 2015

sisi wananchi tumechoka na tabia hii ya kulishwa sumu...ilianza kwa zitto ikaja kwa msaki ikaenda kwa mama yake zitto kutishiwa bastola ikaishia kuchukua roho ya chacha wangwe.
 
utaishia kupata kansa na vidonda vya tumbo....chuki na husuda havitakuacha salama

Ndo ajira yako mdogo wangu,vinginevyo utakula wapi? Kuitetea ccm inatakiwa ujivue ufahamu,kina Mh Deo,Mh Mpina wameacha kuitetea ccm wewe una nini zaidi ya buku 7 au kujipendekeza? Amka wewe,ili uwaamshe na ndugu zako uliyowaacha kijijini
 
Itafika mahali ccm inashidwa kufanya mikutano baadhi ya maeneo...watakosa cha kuwaeleza wananchi maana sasa hivi wanamambo mengingi ya kujibu ambayo hwana majibu mfano...ukimwambia mwananchi wa mtwara ntakuletea maendeleo sijui km atakuelewa huku unahamisha gesi yake....ukimwambia mwananchi wa iringa mjini ccm inakujali sijui km atakuelewa wakati unampiga mabomu na mtetezi wao unamweka ndani na maeneo mengine mengi...kilosa, arusha ,mwanza ,nyamongo(mara) na kwingine sijui ccm itawaeleza nni wananchi.....vijana wa CDM wanaopata mafunzo wanatakiwa wakamalizie kazi kidogo tu...
 
utaishia kupata kansa na vidonda vya tumbo....chuki na husuda havitakuacha salama
Mbona karibu kila muumini anamchukia shetani?Mbona kila raia mwema anachukia rushwa na uovu mwingine?Umewahi washauri usemalo?

Logic ya analogia ni kutu ktk dunia ya leo.Unadhani akila chuki ni hasara?Mungu angekuwa kakosea.Tatizo la magamba kil akitu mna abuse?Hadi masaburi mnaya abuse, amani mnai abuse, ukweli mna ua abuse, ..mmelaniwa kila mahali.Laana ya maalbino mliowa kolimba ili mpate nafasi za NEC.
 
sisi wananchi tumechoka na tabia hii ya kulishwa sumu...ilianza kwa zitto ikaja kwa msaki ikaenda kwa mama yake zitto kutishiwa bastola ikaishia kuchukua roho ya chacha wangwe.

Haikuanzia kwa malima, kolimba, mwandosya, mwakweyembe(kutolewa gari matairi,na sumu hadi leo sura si ile), chami na Zitto ktk batch hiyo hiyo?Hao mbona umewasahau?Ugaidi umeanza long time.
 
Itafika mahali ccm inashidwa kufanya mikutano baadhi ya maeneo...watakosa cha kuwaeleza wananchi maana sasa hivi wanamambo mengingi ya kujibu ambayo hwana majibu mfano...ukimwambia mwananchi wa mtwara ntakuletea maendeleo sijui km atakuelewa huku unahamisha gesi yake....ukimwambia mwananchi wa iringa mjini ccm inakujali sijui km atakuelewa wakati unampiga mabomu na mtetezi wao unamweka ndani na maeneo mengine mengi...kilosa, arusha ,mwanza ,nyamongo(mara) na kwingine sijui ccm itawaeleza nni wananchi.....vijana wa CDM wanaopata mafunzo wanatakiwa wakamalizie kazi kidogo tu...CCM watawambia nini walimu, madaktari,nurses, waandishi wa habari(ukiache-makanjanja njaa), wanachuo....sioni km wana cha kwaambia
 
zile makala mbili za mwisho alizoandika kibanda kabla ya kuhama tz daima ndio zilimfanya akatobolewa macho na kung'olewa kucha

Kwanini unadhani si za nyuma ya hizo mbili?Halafu Kibanda laiingi aline kjinga sana.Hakujua magaidi walikuwa wakiyafany amaisha yake ni bargain chip.

Zitto nae alionja alichooonja Ciryl Chai, mwakyembe, na mwandosya kwa katabia kake ka kudowea nyumba za watu.Siku anaingia rasmi kwa magaidi wanageuza maisha yake kuwa bargaining chip.Cheza na magaidi chama analogia.
 
Labda nifanye ku declare interest.Naichukia CCM(CHAMA ANALOGIA) kwa moyo wangu wote, kwa nguvu zangu, kwa fikra zangu zote,akili yangu yote bila kusahau na chuki zangu zote.

Kwa hiyo fikra analogia zozote zijue hilo.Mazungumzo yote yaende kweny epoint na si kuulizia hilo.
 
Ndani ya CCM tayari mambo yananchemka ktk mbio za urais.Ussishngae mwigulu na wengine wakachanwa live na kambi moja CCM ili kupunguza ushindani na ku eliminnate.Tutegemee issue ya pembe kuibuka ndani ya CCM.
 
Labda nifanye ku declare interest.Naichukia CCM(CHAMA ANALOGIA) kwa moyo wangu wote, kwa nguvu zangu, kwa fikra zangu zote,akili yangu yote bila kusahau na chuki zangu zote.

Kwa hiyo fikra analogia zozote zijue hilo.Mazungumzo yote yaende kweny epoint na si kuulizia hilo.
Hongera kaka kwa kuwa na mtazamo chanya na nchi yako" Magamba yatapita analogia haina mda katika fikra ya watanzania wenye uwelewa wa kutosha kwaheri analogia welcome digital.
 
Kwa kweli mkuu hakuna atakaekushangaa endapo ukiipa ccm jina lolote baya! Maana hata sasa kuna wanaolitumia hili jina kama tusi
 
chama sikivu,serikali sikivu wanajaribu sikiliza mtwara wakati upepo ukipita.Kweli nyoka hawezi sikiliza kitu zaidi ya vibrations na harufu ktk hewa.Upepo ukiisha basi anaona tatizo limekwisha.
 
Chama sikivu,serikali sikivu wanajaribu sikiliza mtwara wakati upepo ukipita.Kweli nyoka hawezi sikiliza kitu zaidi ya vibrations na harufu ktk hewa.Upepo ukiisha basi anaona tatizo limekwisha.

Wale nyoka wa ndimi mbili wameshaliwa na badger?Kwanini wasisaidie tumia ndimi zao kunusa na kuonja chemical zenye ladha la harufu hewani?chama analogia kinateseka sana pata signal achilia mbalia ku decode.
 
Back
Top Bottom