Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

Mm sina chama, lakini kila ninayekutana naye hataki
sikia kuhusu CCM, kila mtu CHADEMA CHADEMA CHADEMA; mpaka sasa hivi
nikikutana na mtu hata kama simjui na assume ana sura ya
ki-CHADEMA, kudadeeeeeeeeeeki mamangi ni noma

Ni noma ile mbaya mkuu ..... acha kabisa mkuu!!!
 
Mpaka mtoto mdogo leo hii anaimba ule wimbo maarufu...chadema chademaaa....peopleeeeees power!!!!x2
 
WAPIGANAJI WETU A-TAUNI TUPENI RAHA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI HAPO JIJINI KWA KUUNGA MKONO KWA DHATI NA VITENDO ZOEZI LA 'OPARESHENI WOTE CHADEMA' HIVI KARIBUNI

Siku zote pale pote palipo na MWANGA, hakuna shaka, GIZA hukimbia tena kwa kasi isielezeka. Ukandamizaji dhidi ya CHADEMA Mungu wetu mwema na aliyehai azidi kuwaumbua watesi wetu na VIHUNZI vyote vya kisasi kisiasa huturukisha salama bila kutuacha tuadhirike na mitego ya maadui zetu.

Enyi wana wa A-Tauni, sasa ni muda wa kufanya KWELI kikweli kweli vile; sote kwa pamoja tena bila ajizi hebu tujitokeze 'TO THE LAST MAN' tukakipigie CCM 'kura za chuki' kwenye uchaguzi wa madiwani hivi karibuni na tupate kumpa Mhe Lema ZAWADI STAHIKI kwa kumchagulia Madiwani wooote toka CHADEMA peke yake ili tupate kuandika historia mpya hapa jijini.

Chini ya mapendekezo haya vile vile tuchukue nafasi hii kuomba viongozi wetu CHADEMA Makao Makuu kutulete mapema ile timu mahiri ya Dogo Nyerere iliopata 'kumuumbua' Mzee Wassira kule jimbo la Meru na hatimaye kutuletea mbunge Nassari sebuleni kule Dodoma.

Katu wasibaki nyuma hata kidogo wabunge vijana kama vile Zitto, Mch Msigwa, Sugu aka Rais wa Taifa la Jamhuri ya Watu wa Mbeya, Kamanda Heche, Kamanda Mawazo wa kule BK, Kamanda Halima Mdee wote chini ya Gwiji Mabere Nyaucho Marando na Mzee wa Anga katika kumkaribisha Dokta wa ukweli kuja kuongoza safu ya 'OPARESHENI WOTE CHADEMA' ili kuliweka sawa jiji la Arusha kisiasa katika ramni ya kuwa NGOME KUU ya mabadiliko ya kweli nchini.

Wakuu 'Crashwise', 'Mungi', Kamanda Ole Millya na Kamanda Ephata, Kamanda Gologwa na uongozi mzima wa CHADEMA Mkoa; hebu tuandalieni jiji na ukaribisho shwari kwa kazi moja kubwa ya kumpa Mhe Lema ZAWADI STAHIKI kwa kumchagulia timu ya Madiwani wenye nembo ya 'WOTECHADEMA' hapo Jijini.
 
Leo nikiwa kwenye daladala naelekea njiro arusha nimefurahi sana baada ya kuwaona vijana wawili ndani ya daladala wakisoma habari za Lema na cdm kupitia JF kwa simu zao za kichina, niliwafatilia nikagundua mmoja anayemsomea mwenzake habari za chadema ni member wa JF na akaniomba nimtajie heading JF yenye updates za lema mahakamani ili aweze kusomea abiria yale yaliyojiri mahakamani..
Nimefurahi sana kukukutana na JF members kwenye daladala na walishukia kituo cha gorofa mbili njiro na kwa ufupi members hao ni mafundi ujenzi wanawahi site kupiga vibarua na kupata habari za chama chao chadema kwa kutumia JF.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
WAPIGANAJI WETU A-TAUNI TUPENI RAHA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI HAPO JIJINI KWA KUUNGA MKONO KWA DHATI NA VITENDO ZOEZI LA 'OPARESHENI WOTE CHADEMA' HIVI KARIBUNI

Siku zote pale pote palipo na MWANGA, hakuna shaka, GIZA hukimbia tena kwa kasi isielezeka. Ukandamizaji dhidi ya CHADEMA Mungu wetu mwema na aliyehai azidi kuwaumbua watesi wetu na VIHUNZI vyote vya kisasi kisiasa huturukisha salama bila kutuacha tuadhirike na mitego ya maadui zetu.

Enyi wana wa A-Tauni, sasa ni muda wa kufanya KWELI kikweli kweli vile; sote kwa pamoja tena bila ajizi hebu tujitokeze 'TO THE LAST MAN' tukakipigie CCM 'kura za chuki' kwenye uchaguzi wa madiwani hivi karibuni na tupate kumpa Mhe Lema ZAWADI STAHIKI kwa kumchagulia Madiwani wooote toka CHADEMA peke yake ili tupate kuandika historia mpya hapa jijini.

Chini ya mapendekezo haya vile vile tuchukue nafasi hii kuomba viongozi wetu CHADEMA Makao Makuu kutulete mapema ile timu mahiri ya Dogo Nyerere iliopata 'kumuumbua' Mzee Wassira kule jimbo la Meru na hatimaye kutuletea mbunge Nassari sebuleni kule Dodoma.

Katu wasibaki nyuma hata kidogo wabunge vijana kama vile Zitto, Mch Msigwa, Sugu aka Rais wa Taifa la Jamhuri ya Watu wa Mbeya, Kamanda Heche, Kamanda Mawazo wa kule BK, Kamanda Halima Mdee wote chini ya Gwiji Mabere Nyaucho Marando na Mzee wa Anga katika kumkaribisha Dokta wa ukweli kuja kuongoza safu ya 'OPARESHENI WOTE CHADEMA' ili kuliweka sawa jiji la Arusha kisiasa katika ramni ya kuwa NGOME KUU ya mabadiliko ya kweli nchini.

Wakuu 'Crashwise', 'Mungi', Kamanda Ole Millya na Kamanda Ephata, Kamanda Gologwa na uongozi mzima wa CHADEMA Mkoa; hebu tuandalieni jiji na ukaribisho shwari kwa kazi moja kubwa ya kumpa Mhe Lema ZAWADI STAHIKI kwa kumchagulia timu ya Madiwani wenye nembo ya 'WOTECHADEMA' hapo Jijini.
Mimi ni mpiga kura wa kata moja wapo inaitwa kata ya Themi,
yani tumeshaanza kampeni na tumeshamaliza, tutafanya mikutano tupongezane kwa ushindi kabla ya kupiga kura kwa sababu hakuna raiya hata mmoja anataka kusikia habari ya ccm hapa kata ya Themi.
Tunakwenda kurudisha kata zote 4 alafu tunarejesha halmashauri kwenye mikono salama ya chadema baada ya kumchomoa meya fake wa ccm.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kuna kila dalili kuwa CCM itakufa kabla ya 2014.

Mojawapo ni:=
- makundi ya urais,

-kukosa viongozi wenye sifa. CCM bado watabadili sana frames ila picture ni ileile. Nafasi wanayoweza itoa ni ya Mwenyekiti ila zote watabadili hadi warudie.

-tenacity ya CHADEMA na ufanisi wa mamluki wa CHADEMA ndani ya CCM ni tishio kubwa kwa CCM ambao hawawezi tena jitokeza kwa raia.

-CCM imeoza kutoka ndani, na kinachoonekana ni zile sehemu uozo umeanza tokeza.
 
There you are!..makundi ndani ya CCM hawatayakwepa, na kila kundi lina interests against the upposite. Pili, kuna suala la zanzibar, hili ni hatari,zanzibar hawataruhusu bara itoe rais wa Jamhuri ya muungano mfululizo zaidi ya miaka 20 ikiwa CCM itatoa mgombea wa urais kutoka bara ktk uchaguzi 2015. Tatu, CDM wamepandikiza watu wa ukweli,wenye nguvu na weledi kwa mission waliotumwa kufanya,CCM haiponi, acha wafanye maigizo yao ya kitoto
 
Ha ha..ndio nilikuwa najiuliza km "mwamba wa mtandao toka kaskazini" anaweza vumilia ten yrs ya rais mwingine alimweka kwa mtandao wake?miaka 7+ hii tunaona afya yake.ccm wakichagua mwingine ni km death sentence na usaliti mkuu.

Baada ya hivyo vitimbi vyao vya chaguzi wanajua hata hawafika wakiwa na chama achilia mbali kumtazama cdm ktk uchaguzi wowote.
 
UJinga ukimtoka mtu ndipo mwisho wa magandamizo yote hapa duniani. kuchoka ni kuchoka tu hata kama rangi ya ulichokipenda bado inashine. Mi naamini hatma ya CCM imo mikononi mwao wenyewe. Hakuna atayewaza kuikoa ccm kwa staili hii. Waliishinda CUF sababu ujinga wa watanzania ulikuwa bado mwingi. kwa mbinu zilezile za staili za kishamba kwa karne hii ya utandawazi zaidi hawawezi kufanikisha kuiangusha chadema. kila wanalofanya waongeza imani ya watanzania kuimani chadema.

Siasa za Propaganda hazina mashiko sasa wala tumaini kwa watawaliwa. CCM jaribuni njia mbadala kama ipo kuokoa chama, maana sasa mnafanya kupunguza maji ziwani kwa kutumia ndoo huku mvua inanyesha na mito inaelekea humo ziwani.
 
Masikini CCM!!!!!!!!!!!!!!!

Yaani leo hii ndio kabisaaa Waziri Mch Msigwa amekichinjilia mbali kabisa kwa kuanika kweupe UJANGILI WAKE unaoendeshwa katika mbuga zetu na huyu Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana - taabu kweli kweli!!!!
 
Chama Cha Mapinduzi hakitaweza tena kuinuka na kuongoza nchi baada ya kipindi cha rais Kikwete kuisha. Chama hakiaminiwi tena kwa mambo yafuatayo 1. Rais alijipa mamlaka ya kuisamehe orodha ya wezi wa fedha EPA na orodha ya wafanyabiashara madawa ya kulevya yaani "list of shame" (viongozi wa CCM wenye vyeo serikalini) na kuiweka kapuni. 2 Serikali ya Chama Cha Mapindunduzi, kwa dhamira haram, kukubali kusaini mikataba na makampuni hewa kama Richmond na mengine amabayo kimsingi ni makampuni hewa ya viongozi wa chama cha mapinduzi..huu ni uhujumu uchumi wa kukusudia na unaolindwa na kiongozi wa juu zaidi katika nchi. 3 CCM inaumri wa miaka 34 kwa sasa, huduma za afya bado ni duni, elimu hovyo,uchumi hovyo na huduma zingine bado...hii ni total failure, haihitaji excuse any more. 4 CCM imeshindwa ku-practise political torelance kwa vyama pinzani na wtu wowote wale wenye mlengo huo. Kupitia vyombo vya usalama vimekuwa vikikibeba chama, polisi kumuuwa mwangosi inatosha kuuona utawala unaoamini "liwalo na liwe". Sasa ni utawala wa imla...ni ishara ya chama na serikali yake kuanguka. Haitaweza kuinuka tena!...Madhambi ya chama yako wazi na dhahili. Change is is an irreversible process, CCM haitaweza kubadili hali hii ambayo imo mioyoni mwa wananchi.
 
Bai bai CCM; MAFISADI hatuwataki, na MAJANGILI mbugani tuwakomeshe ili tembo wetu wapate kusalimika.

Chama Cha Mapinduzi hakitaweza tena kuinuka na kuongoza nchi baada ya kipindi cha rais Kikwete kuisha. Chama hakiaminiwi tena kwa mambo yafuatayo:

1. Rais alijipa mamlaka ya kuisamehe orodha ya wezi wa fedha EPA na orodha ya wafanyabiashara madawa ya kulevya yaani "list of shame" (viongozi wa CCM wenye vyeo serikalini) na kuiweka kapuni.

2 Serikali ya Chama Cha Mapindunduzi, kwa dhamira haram, kukubali kusaini mikataba na makampuni hewa kama Richmond na mengine amabayo kimsingi ni makampuni hewa ya viongozi wa chama cha mapinduzi..huu ni uhujumu uchumi wa kukusudia na unaolindwa na kiongozi wa juu zaidi katika nchi.

3 CCM inaumri wa miaka 34 kwa sasa, huduma za afya bado ni duni, elimu hovyo,uchumi hovyo na huduma zingine bado...hii ni total failure, haihitaji excuse any more.

4 CCM imeshindwa ku-practise political torelance kwa vyama pinzani na wtu wowote wale wenye mlengo huo. Kupitia vyombo vya usalama vimekuwa vikikibeba chama, polisi kumuuwa mwangosi inatosha kuuona utawala unaoamini "liwalo na liwe".

Sasa ni utawala wa imla...ni ishara ya chama na serikali yake kuanguka. Haitaweza kuinuka tena!...Madhambi ya chama yako wazi na dhahili. Change is is an irreversible process, CCM haitaweza kubadili hali hii ambayo imo mioyoni mwa wananchi.
 
Prince Tumbo unafikiria kwa kutumia tumbo.

Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums
 
Msioipenda CCM, 2015 mtaenda kuishi uhamishoni ili kuficha aibu itakayowakumba.

Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums
 
Ni sawa na ng'ombe aliyeoza kwato hawezi tena kusimama kilichobaki anaoza upande mmoja kwa sababu hawezi kumove.

CCM kimekufa gafla sana tofauti na matarajio ya wengi.
 
CCM ni chama cha Siasa chenye heshima kubwa sana hapa barani Africa.

Ukombozi wa nchi nyingi za kusini mwa Africa umechagizwa na CCM.

Ni ujinga kufikiri kwamba CCM itakuja kutoka madarakani.

Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums
 
Back
Top Bottom