Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

Chama cha mapinduzi kimepoteza dira na mwelekeo hivi sasa kinaweseseka kinatumia polisi, usalama wataifa, spika makinda na hujuma nyingi kuzima mabadiliko jambo hilo ni gumu na tafsiri nyepesi wamea nza kunusa harufu ya kuwa chama cha upinzani
 
Ndugu zangu wana JF,
Jina langu ni mimi Elineema J Mosi, Naomba tujadili kwa uwazi na mapana yake kwa manufaa mapabna ya nchi yetu.
Tafiti nyingi zimeonyesha kwa njia moja au nyingine Chadema ndio chama pekee ambacho kinakubalika na kinakuwa kwa kasi ya ajabu. Japo kuna zile tafiti nyingine ambazo ni za kisaikolojia zaidi kuliko uhalisia, CCM [Watani wetu ] wametawala kwa miaka mingi na sasa Watanzania wanaonekana kubadilika na kutaka kukabidhi kijiti hiki cha maendeleo kwa Chadema[ Najuafika mnafahamu hilo ndo maana kila kukicha agenda yenu ni Chadema]. Bila kupoteza Muda na kukuchosha basi tunaomba kwa dhati kabisa na kwa moyo mkunjufu mjiandae kukabidhi madaraka kwa chama kitakacho shinda hapo baadae kwani nawajua sana kuwa nyie ni mabigwa wa kuhubiri Amani hivyo ienzini kwa vitendo. Msiwe wagumu kuelewa wala wepesi wa kujibu hoja kwa majibu ya mkato!!? Pamoja na haya yote ya kushindwa kuwaletea maisha bora watanzania bado mnatoroka Bungeni [ Sourse Mwananchi ya leo] na huku mkijinasibu kwa kuleta maendeleo, sasa Zero za F4 asilimia 60% ndio maendeleo kweli?. Someni alama za nyakati kwa kuweka agenda hiyo kwenye vikao vyenu ili msibadili Historia ya nchi yetu kwa jambo linalofahamika toka mbali na pamoja na viashiria vyote muhimu.
Najua nyie ni Chama tawala na hakuna hata siku moja mtu yeyote atakubali kutema mnofu wake muhimu lakini kwa kufanya hivyo kutawajengea heshima na pengine mkafanya rotation na Chademe baada ya miaka 5 ijao yaani 2020,Mbona Kenya walifanya hivyo sasa KANU IPO Madarakani tena, so igeni kwa majirani zetu wakenya. Kuendelea kujidanganya ni kuonyesha uwezo mdogo wa kusoma alama za nyakati, basi kuona hauoni hata kupapasa!!!!??
Nawakilisha
Asanteni.

progress.gif
Reply With Quote
 
Wakuu,

CCM wasitafute mchawi wa uadui wao na wananchi,yatasemwa mengi lakini ukweli utabaki pale pale kuwa miongoni mwa mambo yanayo wakwaza wananchi ni kama ifuatavyo.

  1. Wanaongoza kwa mazoea
  2. wamelewa madaraka
  3. kichaka cha wahuni
  4. ahadi hazitekelezeki
  5. mwingiliano wa mihimili ya dola
  6. Bunge kufanya kazi ya serikali
  7. Kuogopa kukosoana
  8. Kulea ufisadi
  9. Kusaini mikataba na Wachina bila wenye nchi kujulishwa(wananchi)
  10. Usiri katika mikataba mbalimbali
  11. Usalama wa taifa kushindwa kazi iliyokusudiwa wakati idara hio inaanzishwa
  12. Kushindwa kuwajibisha katika dhana nzima ya utawala bora
  13. Kuasisi dhana ya udini ndani nchi wakati hali hiyo haikuwepo
Mengineyo mtaongeza wanabodi
 
CCM wana serikali ambayo kwa mujibu wa katiba ya JMT ni kuimarisha ustawi wa wananchi.CCM kufanya siasa katika kipindi cha kutekeleza ilani iliyokibeba kipindi cha uchaguzi ni mwendelezo na mdodoro wa chama kwenye mioyo ya wananchi yanasababishwa na makosa ya kiufundi kwa kushindwa kutekeleza ustawi wa wananchi.

Nasema makosa ya kiufundi yana sababishwa na utekelezaji wa serikali hii ambao ama kwa makusudi au ulevi wa madaraka uliopelekea serikali kuwatelekeza wananchi wake.Kinachofanywa na CHADEMA ni uamsho dhidi ya serikali iliyoko usingizini.Leo hii kutokana na ukosefu wa umakini serikali imekuwa ikiingilia mihimili mingine ya DOLA kwa makusudi ili iweze kuficha udhaifu wake kiutendaji.

Hali hii imesababisha wabunge wa CCM kushindwa kufanya kazi zao za kibunge na kujikita katika kuitetea serikali ya chama chao,mtego huu umekinasa chama pia kutokana na kushindwa kuisimamia serikali kutokana na mfumo mbovu wa rais kuwa Mwenyekiti wa chama.

Mara baada ya CHADEMA kugundua serikali ni dhaifu na haiwezi kutekeleza yale waliyo yaamini wataweza, wameamua kufanya kazi moja ya kuwakumbusha wananchi juu ya ahadi na kuwaonyesha uzembe unaofanywa na serikali hii dhaifu.Kutokana na udhaifu wa chama chenyewe cha CCM kushindwa kuwawajibisha wanachama wake ndani ya serikali kumesababisha serikali kubaki sikivu imaginary na kuupuza matatizo yanayolikumba taifa.

Wabunge wanachowaza ni deal,wakuu wa mikoa,wilaya na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini ni deal.Unategemea nini taifa la kitu kidogo kuweza kuinua uchumi wa nchi.Kinachotekelezwa kwa sasa ambacho hakikuwepo kwenye ilani yao ya uchaguzi ni kushiriki misiba tu,lakini yale yote yenye kuweza kujenga nchi yameachwa ama kwa makusudi au kwa staili ya funika kombe mwanaharamu apite.
 
.......................
..................................Hali hii imesababisha wabunge wa CCM kushindwa kufanya kazi zao za kibunge na kujikita katika kuitetea serikali ya chama chao,mtego huu umekinasa chama pia kutokana na kushindwa kuisimamia serikali kutokana na mfumo mbovu wa rais kuwa Mwenyekiti wa chama.

.................. Kutokana na udhaifu wa chama chenyewe cha CCM kushindwa kuwawajibisha wanachama wake ndani ya serikali kumesababisha serikali kubaki sikivu imaginary na kuupuza matatizo yanayolikumba taifa.

Wabunge wanachowaza ni deal,wakuu wa mikoa,wilaya na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini ni deal.Unategemea nini taifa la kitu kidogo kuweza kuinua uchumi wa nchi.Kinachotekelezwa kwa sasa ambacho hakikuwepo kwenye ilani yao ya uchaguzi ni kushiriki misiba tu,lakini yale yote yenye kuweza kujenga nchi yameachwa ama kwa makusudi au kwa staili ya funika kombe mwanaharamu apite.

Hapo kwenye highlights (red and bue) ndipo panapotuumiza sana wananchi wa kawaida!!
Wabunge wa ccm wanatia aibu mnoo! hawajitambui kwanini wako bungeni!! kila mtu anajifanya yeye ndie msemaji wa serikali , kuanzia spika wao hadi wabunge! Mizee na mimama mizima haioni hata haya!! aaaghhh!!!
 
Nadhani upinzani wajifunze kuishi na mama wakambo,,,,,,Unapokuwa unaangalia sehemu zenye upungufu tu nakusahau kuwa kunasehemu za mema o mazuri hayo ni mawazo ya kimasikin ,,,,, Kwa sababu utasahau kuendeleza mema na kukazania mabaya..Wabunge si wa CCM tu jamani hata CHADEMA situna waona wanatetea chama chao bunge baadala ya kuwa silisha malalamiko ya majimbo yao..Tufikie wakati tuwe tuna utanzania ,Kwa taafsiri nzuri heshima, hekima ,busara na mengi yenye manufaa.TUKIANZA KUTAJA WALIO FANYA SEREKALI SIYO MADOGO KAMA TUNAVYO YA KUZA.unapo nyosha kidole kwa mwenzako jua vitatu vinakurudia..
 
Since the Ruling Party i mean CCM have decided not to take anything good from the Opposition to steer this sinking Country out of the Economic abyss and even to take jibes at the Opposition positive ideas now they have no choice but to wait for the voters rage in the ballot box come 2015 general election.I am quite sure that CCM have run out of positive ideas to improve people's lives.And for what i have seen from this current administration it's very unlikely for them to change.This administration loves taxing people and then spend that money irresponsibly,Look at how our President spend our money touring all over the World while this Country is in serious trouble.Should CCM Party through their Parliamentarians in the Parliament get serious with this administration's ridiculous spending and work with the Opposition Parliamentarians on the proposed areas of SPENDING CUTS & TAX relief to the BUSINESSES & Middle Class this Country would have not been in this Economic disaster we are in today.It's time to pay.
 
Nadhani upinzani wajifunze kuishi na mama wakambo,,,,,,Unapokuwa unaangalia sehemu zenye upungufu tu nakusahau kuwa kunasehemu za mema o mazuri hayo ni mawazo ya kimasikin ,,,,, Kwa sababu utasahau kuendeleza mema na kukazania mabaya..Wabunge si wa CCM tu jamani hata CHADEMA situna waona wanatetea chama chao bunge baadala ya kuwa silisha malalamiko ya majimbo yao..Tufikie wakati tuwe tuna utanzania ,Kwa taafsiri nzuri heshima, hekima ,busara na mengi yenye manufaa.TUKIANZA KUTAJA WALIO FANYA SEREKALI SIYO MADOGO KAMA TUNAVYO YA KUZA.unapo nyosha kidole kwa mwenzako jua vitatu vinakurudia..

Kiukweli kwa upande wa upinzani wao wamejikita katika kutetea matatizo ya wananchi no matter wakipewa nafasi hawatatekeleza lakini kinachooneka kile wanacho kipresent kilikuwa ndani ya ilani yao na ndipo CCM wanaposhindwa kutofautisha matatizo na ilani za wapinzani
 
Mimi siongei nadharia nimehudhuria mikutani ya chadema ni kuponda CCM,na hata ile ya CCM kumekuwa na halihiyo ndio maana ni vigum kwa mwanachama wa kawaida kuelewa chadema dhamira yao ni wanainch au nchi?kwa kawaida Tanzania tuna upinzani maana yake kupingana na siyo ukizani maana yake kushindana
 
Kiukweli kwa upande wa upinzani wao wamejikita katika kutetea matatizo ya wananchi no matter wakipewa nafasi hawatatekeleza lakini kinachooneka kile wanacho kipresent kilikuwa ndani ya ilani yao na ndipo CCM wanaposhindwa kutofautisha matatizo na ilani za wapinzani
Tanzania kuna upinzani maana yake kupingana na siyo ukizani maana yake kushindana
 
pata elimu ya bure juu ya umuhimu wa mabadiliko kwa taifa letu hili
kuna umuhimu mkubwa sna wakukikataa chama cha mapinduzi kwa sababu zifuatazo
1 tumeelimika vya kutosha namna na jinsi ya kutumia rasilimali zetu
2 hawana jipya uzoefu wa uongozi (no creativity)
3 wakoloni weusi ndani ya nchi yetu
4 waasisi wa udini ukabila na ufamilia
5 wamekiri wamechoka na wana hitaji mda wa kupumzika (ikwezekana in peace)
6wasomi na wanazuoni wanawakimbia kwa kubaini ukweli huu
7 wafuatiliaji wa mambo hususani mijini wamewakataa(angalia majimbo ya mijini)

sikubali kuwa kibaraka wa ccm kwani sio mama yangu wala baba yangu tanzania mbele tumbo badae


 
wewe mwenyewe ni shuhuda mara ngapi bajeti mbadala ndani ya bunge zinapondwa kiasi cha kutupwa kitabu chao.Wapinzani wanachoponda pale ni kutokutekeleza ahadi walizo ahidi wananchi wakati wa uchaguzi.
 
Ni Kweli hawa jamaa mwisho wake umefika sijui kama wana mshauri aliye hai au mshauri wao naye amekufa, nimeangalia jambo dogo sana la kupima mtu kama ni kiongozi au kama lah nimegundua CCM wanaangushwa na watu ambao wamewapa mamlaka mf, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya nk, mimi ningejitolea kuwasaidia kimawazo hata kujibu hoja tu ningewanusuru tatizo wanatumia nguvu nyingi akili kidogo
 
CCM wameamua kuachana na siasa za Analogia kwasababu zimekuwa zikiwachelewesha katika kufikia malengo yao ya kukimaliza na kukifutilia mbali chama cha HADEMA.Sasa wameamua kuja na siasa za kidigitali zaidi hii ni kuwabambikizia wapinzani wao kesi zisizokuwa na Kichwa wala miguu.
Uhalifu wowote unaotokea sasa iwe ujambazi,uvamizi wa aina yeyote iwe utekaji nyara na utesaji,Mafuriko watu wa mabondeni ,machafuko kama yaliyotokea kule Lindi na Mtwara n.k CCM hawaumizi kichwa tena zaidi ya kusema ni CHADEMA ndiyo wahsika wa kuu.

Kwahiyo napenda kuwashauri CCM kuwa wayaongezee yafuatayo katika hayo ili wakifutilie mbali chama hiki kibaki historia tu:

1. Kesi ya EPA -wahusika CHADEMA
2.Utoroshwaji wa wanyama hai- CHADEMA
3.Kiwango cha Elimu kushuka, wanafunzi kufeli -CHADEMA
4.Rushwa na Mafisadi-CHADEMA
5.Tuhuma za Kagoda,Meremeta, ufisadi UDA-CHADEMA
6Ufisadi TRL -CHADEMA NK
 
Naona umekosa usingizi ukaona ujifariji na post ili na wewe uonekane tu umeanzisha thread
 
Back
Top Bottom