prof.mutunga
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 341
- 60
Mwisho wa ccm ni mwakani katika uchaguzi wa serikali za mitaa,cdm tunajivunia nguvu ya umma
Mwisho wa ccm ni mwakani katika uchaguzi wa serikali za mitaa,cdm tunajivunia nguvu ya umma
But be careful, the kicks of the dying horse are deadly. Of course it is giving its last but one final breathIkiwa ni muda mrefu umepita,tokea watanzania tupate uhuru,tukiwa chini ya utawala wa TANU,hatimaye CCM bado mabadiliko makubwa hayajafanyika kuonesha malengo ya kulipatia taifa letu maendeleo.awamu ya kwanza ilianza vyema,lakini mawazo ya mwalimu J.K.Nyerere yalipoanza kukiukwa katika awamu ya pili,ya tatu na hatimaye ya nne ndio sasa watanzania tunaona tuko katika jehanamu iliyojaa chuki,njama,ufisadi, na umaskini uliokithiri.
ni ukweli usiofichika CCCM na uongozi wake wote imeshindwa kutatua matatizo yanayotukabili,na niseme imekuwa ikituongezea tabu kila kukicha.nianze na MGOMO WA MADAKTARI,AJALI ZA ZANZIBAR,SUALA LA MUUNGANO,KILIMOn.k vyote vinatabiri kifo cha CCM,kwa kuzingatia kuongezeka kwa machafuko nchini.
watanzania walio wengi wenye akili timamu na hekima nadhani tayari wameshajiandaa kufanya mabadiliko makubwa 2015,na namini itakuwa ndio mwisho wa utawala wa kidhalimuna dhaifu wa CCM!
NA HICHO NDICHO KIFO CHA CCM 2015!
Huo ndio mpango wao. Kuiba, kuchakachua, kufoji, kulazimisha tume itangaze kuwa ni wao wameshinda. Ni vema CDM kuandaa counter attack strategies mapema.Title imekaa kushoto, ila ukisoma content, full uhondo. Hata iweje ccm lazima wakae. Wataiba kura hadi zitabak, hawatoki
CCM Chali, hata ilani yao hawaijui.
CHAMA CHANGU CCM MBONA KUTWA NZIMA TUNAKALIA KUIMBA NYIMBO HIZI....
1.Chadema chama cha magaidi,wakati huku mtaani wananchi wa kawaida kabisa mpaka wazee,vijana wasio na elimu ya kutosha wanajua ni mikakati yetu ccm kuwadaa watz ili waichukie chadema.
.
CHAMA CHANGU CCM MBONA KUTWA NZIMA TUNAKALIA KUIMBA NYIMBO HIZI....
1.Chadema chama cha magaidi,wakati huku mtaani wananchi wa kawaida kabisa mpaka wazee,vijana wasio na elimu ya kutosha wanajua ni mikakati yetu ccm kuwadaa watz ili waichukie chadema.
2.Maisha magumu,mauaji,uchochezi,magorofa kuua watu,matusi vyoote mnadai ni chadema lakini huku mitaani watz wanajua yote ccm ndo chanzo lengo ni kutotaka kuondoka madarakani. Lakini kila mara tumekuwa tukiimba mambo ya kipuuzi yasiyokuwa na tija kwa wananchi bado chadema haohao wakitisha mikutano,maandamano watz wanajitokeza kwa wingi tena bila kufatwa na magari kama tunavyofanya sisiemu.
- Wito wangu hebu tutekeleze ilani yetu ya uchaguzi kwani kimsingi chadema inatutisha kwani leo hii kila uchaguzi iwe mtaani,vyuoni,vijijini chadema wanatushinda kwa kishindo nimeogopa sana kusikia eti hata bumbuli kwa makamba hawa makamanda wameshafika na wameshinda huko uchaguzi mdogo japo tulifanya hila nyingi je mpaka kufikia 2015 itakuaje?
- Tuachane na kutengeneza propaganda za kuiangamiza chadema bali tuwatumikie watz na kuimarisha chama chetu kwani kila tunalofanya dhidi ya chadema impact kwa wananchi dhidi ya chadema ni wao kuhoji na kupata ukweli au wanatudharau.
- Tukae tukijua watz wa 2010 si hawa siku hizi watu wanauelewa mpaka vijijini si unaona kila ka uchaguzi makamanda wa M4C wanatubwaga tena hawatumii hata mamilioni,hebu tujipangeni jamani uwenda chaguzi ya 2014 serikali za mitaa mambo yatakuwa magumu sana huku ccm
- Pia tukae tukijua watz wamepania sana kujiandikisha kupiga kura na wanahamu kubwa ya kupiga kura tofauti na miaka ya nyuuma inatisha sana. NI HAYO vTU WANACCM WENZANGU.
Wewe kijana nakujua uwenda ni wa SAUT,UDSM,MZUMBE,UDOM,SUA,TUMAINI maana nyie ndo huwa hamna jema kwetu ccm ilani yetu tunaijua na tumeahidi,tumetekeleza na tunaendelea kutekeleza mfano
- Movie ya Lwakatare
- Kuua mwangosi,kung'oa kucha kibanda,na yule dr.
- Mipango ya kuiangamiza chadema via masalia
- Kuvuna wanachama toka chadema kama Shonza,mwapamba.
- Kutafuta hela ya uchaguzi mkuu 2015 kupitia gesi ya mtwara
- Kuchakachua katiba mpya ili iwe ki-maccm
- Kikwete kusafiri nje kutembeza bakuli
- Kuficha mabilion nje ya nchi
- Lengo la kutawala milele linalofifia
- Kusomba watu na mafuso na kuwajaza kwenye mikutano yetu ili kuwalingishia chadema na kuwadaa watz kwamba bado tunapendwa.
- Kumiliki vyombo vya habari kama tbc,magazeti uhuru,majira,mzalendo,habari leo,RADIO clouds,uhuru,passion YOTE HAYA NI ILANI YETU TUMETEKELEZA
- Gharama za maisha kupanda na watz kukosa uhakika hata wa mlo mmoja kwa siku huoni maisha bora kwa kila mtz.
- Watoto kumaliza la saba hawajui kusoma wala kuandika pia wanamaliza form four. Duh! Hii haijawahi tokea duniani ila tz tu for ze first tym.
Tatizo letu watanzania ni hodari sana wa kukesha nyuma ya keyboard........wagumu kufanya maamuzi....... Kwa hali hii ccm itatutawala milele mpaka siku tutakayoamua kwa dhati kuiondoa madarakani........ Change ni mimi ni wewe ni sisi twaweza!