Kidono/Kinkuti ni kitu gani?

[emoji115] [emoji115] [emoji115]
Mondray naomba usome maelezo yaliyomo ktk hii post yangu halafu nifafanulie vizuri kunikuhusu.
 
Hiii kitu inatofautiana na jamiii na jamiii katika majina.


Tanga hiyo kitu inaitwa MUKU.

Nimeishuhudia inavyo fanya kazi kwa mtu, na hatua za majaribio niliwahi kuiona. Ina masharti yake, nikipata muda naweza hadithia kidogo
Tanga kuna watu wa kigoma wengi waliopelekwa manamba (kukata mkonge) wakamua kuishi huko hao ndio waliopeleka hiyo taaluma
 
Ni kweli nimewahi shuhudia mzee mmoja hali hiyo ikimtokea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…