Kidono/Kinkuti ni kitu gani?

ahahahhahaha not bad knowing though!
bado inabaki kuwa sayansi ambayo wengine wanatumia kuishi positively!
AINT THAT BAD IWAPO HUITUMII KUMDHURU MTU!
Purukushani za kuchimba dawa sizitak mie kuna vingi vya kufanya. Itabak kama elimu tu niliyonayo upande wa uganga
 
Hafi kirahisi lakini si anaumia na anatokwa na damu
 
No fursa ndio ila mwisho utatengeneza majambazi has a usawa huu ulivyo

Kuuza silaha hakuna ubaya na believe me fursa yetu ni usambazaji wa silaha hayo mengine yanatuhusu nini sie. Tuanze bajeti fasta ... nauli hadi kigoma /Congo...., Chakula/ malazi..... Ro materio ya dawa ...... ofisi..... matangazo.... EFD machine (Opshino)..@Da'Vinci tunaumaliza mwaka kivingine.
 
Hahaaaaaa hapo umeua.. Kweli ukishazipata tu utajili uleee. Shida mchanganyo ndio Kazi inabid ubapata mfupa was gorila au simba. Ila nadhani Kongo yanapatikana kiurahisi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…