Kidono/Kinkuti ni kitu gani?

Mambo ya Kinjekitile Ngwale haya, kulaleki nyama hii ya binadamu panga lisipenye[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Aisee Kuna rafiki yangu ni muha alinihakikishia kwamba ulipewa hiyo dawa hata risasi haipenyi
 
Serikali haiamini uganga na Uchawi.
Ila wnajeshi wenyewe ndio huwatafuta waganga wawape hizo dawa. Mm nishashuhulikia wanajeshi zaidi ya watano kwa dawa hizo.
Mkuu nikuulize kama hizi dawa zinasaidia kivipi huko congo wale waasi wa maimai ambao ukiwapiga risasi zinageuka maji wakikutana na wanajeshi wa kizungu risasi zinapenya kama kawa??? Au uchawi una limits/ uchawi wa wazungu umezidi wa waafrika??

Pia nilisikia askari wa hitler walikuwa na uwezo huo pia wa kupigwa risasi isiwadhuru unless umkate kichwa..... Ina maana nao walitumia hizi chanjo za asili???

Hii dunia ina mambo
 
Son
tuweke tangazo la kuuza kidono kinkuti!
AHAHAHAHAHAHHA umetisha!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…