Chibike
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 4,896
- 7,522
Kuna mambo mengine ya kipumbavu sana.
Nimekua nasoma habari za mmoja wa wanaharakati wa Tanzania kunusurika kutekwa huko nchini Nairobi, na mmoja wa watekaji amekimbia na wengine wamekamatwa.
Nimekua najiuliza hii kidiplomasia imekaaje? Je sio ni kama kitendo Cha uvamizi kwenye nchi husika? Kwamba wewe unaweza kuleta makalio yako nchi nyingine na kutaka kuteka watu ama kuua, this is considered as state of war. Kwamba umevamia nchi yangu na kutaka kuteka wakazi wa nchi yangu.
Hao waliokamatwa wawataje na wenzao wengine tuwajue watekaji.