Ni kweli mchekeshaji Leornardo ana huu uwezo mkubwa wa kufikiri au kuna mtu nyuma ya kamera?

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,845
10,070
Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la kuteka attention za watu?

Mkerewe huyo ki asili hao huwa ni wabad sana kwenye elimu hasa upande wa science na sheria
Nilisikia kuwa watu wanaokula samaki sana kichwa huwa wako vizuri sana sasa hivi nimeanza kuamini.
Nikiwa chuoni nilisoma na Wakerewe,Wajita,Wasukuma,Wahaya aisee hawa watu ni hatari karibia wote GPA zao wanagonga kuanzia 4.0 na kuendelea.
Na hata waliokuwa wanashika best students ukifuatilia unakutana na majina ya kanda hiyo.
 
Nimewafundisha hao wakipenda shule ni wanakupa one za single digit tu
 
Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la kuteka attention za watu?

View attachment 2990672
We soma tu kuchanganua mzizi wa neno Kwa njia ya matawi....... Unaonyeaha tu Hisabati kwako ni kitu usichokiweza kabisa.
 
The way huyu jamaa anafanya comedy yake kuwa relatable kwa watu wengi, kweli anaonesha usomi wake umemsaidia. Niliona clip anafanya stand up comedy kwenye event ya NMB na anachekesha kupitia concept za saving 👏🏾👏🏾👏🏾
 
Back
Top Bottom