Na hilo liavatar lako nafikiria ndo waandishi wa habari wanalihoji alafu linajibu "Aahh walijaribu kwa piratebay ikarudi nayo itarudi tu"....moja ya mkongwe wa kushusha torrents akitoa maoni yake.LOLAahh walijaribu kwa piratebay ikarudi nayo itarudi tu
Tena server tunahamishia Russia kwa Edward Snowden ambapo hao FBI cjui CIA hawawezi leta fujoNa hilo liavatar lako nafikiria ndo waandishi wa habari wanalihoji alafu linajibu "Aahh walijaribu kwa piratebay ikarudi nayo itarudi tu"....moja ya mkongwe wa kushusha torrents akitoa maoni yake.LOL
Dah wiki hii sijaingia huko... Nko bush kuna 2g, zile tv show zangu ntazimalizia pirate bay sasa japo UI ya kat kwangu ndo ilikua murua zaidiTena server tunahamishia Russia kwa Edward Snowden ambapo hao FBI cjui CIA hawawezi leta fujo
Nipo namalizia kushusha torrents muhimu!Tena server tunahamishia Russia kwa Edward Snowden ambapo hao FBI cjui CIA hawawezi leta fujo
"hawa watu huwa wanafahamu muda wowote watakuwa raided"Mkuu upo dunia ya ngapi?
ThePirateBay haijawai zama bali wamekua wanahamisha servers na kuendelea na game kawa.
ThePiratebay ilivyokua raided kule Sweeden na servers zao kua chini ya ulinzi wa Sweedish Polis na kuwa confiscated waliibuka baada ya muda mfupi tu na watu waliendelea kuipata throw mirrows.
Hata hao KAT watarudi tu na servers zao wataanzisha kupitia nchi nyingine, kumbuka hawa watu huwa wanafahamu muda wowote watakua raided so huwa wanakuwa na backup kwenye cloud system.