Anafosi tu watu ili watu wamwelewe hivyo lakini jamaa ni pimbi tu kama pimbi wengineKuna nyimbo yake flani hivi anasifia freemason aliitoa kipndi flani mara kuna mwanamke yumo ndani ya sink la damu an etc...nyimbo zake ukizisikiliza vyema utagundua Ney ana maudhui flani hivi ya mashairi yasiyo na Mungu wa Mbinguni ndani yake but huyu mungu wa duniani, me nlimfuatilia tangia ngoma yake ya kwanza aliyoshirikishwa na binti flani hivi mpaka ya wamepanda wameshuka an etc...
Ameshaiuza roho yake kwa nani?Ameshaiuza Roho yake kwa (...) ndo maana hana wasiwasi na kuzimu, watu kama kina Rickross,wayne,eminem,tyga wanajua hii hali...SOLD SOULS
Freemason ni Propaganda tu ya kutungwa hakuna chochote.Kuna nyimbo yake flani hivi anasifia freemason aliitoa kipndi flani mara kuna mwanamke yumo ndani ya sink la damu an etc...nyimbo zake ukizisikiliza vyema utagundua Ney ana maudhui flani hivi ya mashairi yasiyo na Mungu wa Mbinguni ndani yake but huyu mungu wa duniani, me nlimfuatilia tangia ngoma yake ya kwanza aliyoshirikishwa na binti flani hivi mpaka ya wamepanda wameshuka an etc...
Upo sahihi kabisa, nakubaliana naweweHakuna uchawi wowote wala u-freemason anatafuta kiki tu. Maana ukitaka kuzungumziwa kwenye media shoot video unakunywa damu hata kama ni juice umeshapata KIKI
Misalaba yote imewekwa siku moja na hakuna kaburi lilijengewa yote yametengenezwa muda mfupi .Aje iringa nimpeleke kwenye makaburi
Keshasema mungu wake anajibu fasta... mnahoji nini tena.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji15] [emoji15] [emoji87]Huyu atapotezwa soon, wanamlia target tu. Asifikiri ule wimbo wake umekubalika kirahisi hivyo...
Time will tell
anatamani kuingia mason ila hajui pa kuanzia so anatapatapa,mason kama.... za maduani ukiipania ndo hupati nafasi kabisa.huwa wanakua na ??why unapataka una nini kichwani mwako dhidi yao??Ameshaiuza Roho yake kwa (...) ndo maana hana wasiwasi na kuzimu, watu kama kina Rickross,wayne,eminem,tyga wanajua hii hali...SOLD SOULS
mason hawawezi recruit nyambafu kama huyoKuna nyimbo yake flani hivi anasifia freemason aliitoa kipndi flani mara kuna mwanamke yumo ndani ya sink la damu an etc...nyimbo zake ukizisikiliza vyema utagundua Ney ana maudhui flani hivi ya mashairi yasiyo na Mungu wa Mbinguni ndani yake but huyu mungu wa duniani, me nlimfuatilia tangia ngoma yake ya kwanza aliyoshirikishwa na binti flani hivi mpaka ya wamepanda wameshuka an etc...
na hizo tattoo za kucholea manzeseInawezekana
Alafu yote imepakazwa damuKweli misalaba yote inafanana