Mlinzi Shujaa_
Member
- Mar 30, 2020
- 49
- 89
Nkweli mkuu.Unashauriwa ukimbie kama ukiona umezidiwa.Usimng'ate adui atakuambukiza ebola.
Kwa sababu kodani ni sehemu ambayo inahisia kali sana za maumivu, ambayo kama pigo likiwa zito zaidi adui anaweza akapoteza fahamu au akashindwa kukufuata au kupambana tena na wewe ,hapo utakua umepata nafasi ya kukimbia na kurudi nyumbani salama.Kwanini korodani
Korodani ni sehemu yenye hisia kali sana za maumivu.Kwanini korodani
Kweli kabisaUkipigwa KWENYE korodani panauma hatali