Kick nyingine Mmh

Kick nyingine Mmh

Watanzania wengi huwa tukiona makaburi tunapata hisia za kimajini, mapepo uchawi....tu.

Hiyo picha ya kwenye graveyard inaweza kuwa na maana pana zaidi na tafsiri pana.

Huko kuna vitabu vingi ambavyo havijawahi kuandikwa.
Kuna nyimbo nyingi sana ambavyo hazijawahi kuimbwa....graveyard can be the richest place on the planet.
Hakuna makaburi hapo, hayo ni mazingira ya kutengenezwa kwaajili ya shooting, angalia vizuri.
 
Hiyo picha imejaa symbols nyingi za ulimwengu wa giza; makaburi yenye misalaba inayochuruzika damu, viatu vyeusi na cheupe, tatoo ya jicho na bikira wa baharini hayo yote ni mambo ya giza. Sielewi kama huyo jamaa anaelewa anachokifanya.
 
Hakuna uchawi wowote wala u-freemason anatafuta kiki tu. Maana ukitaka kuzungumziwa kwenye media shoot video unakunywa damu hata kama ni juice umeshapata KIKI
 
Kuna nyimbo yake flani hivi anasifia freemason aliitoa kipndi flani mara kuna mwanamke yumo ndani ya sink la damu an etc...nyimbo zake ukizisikiliza vyema utagundua Ney ana maudhui flani hivi ya mashairi yasiyo na Mungu wa Mbinguni ndani yake but huyu mungu wa duniani, me nlimfuatilia tangia ngoma yake ya kwanza aliyoshirikishwa na binti flani hivi mpaka ya wamepanda wameshuka an etc...
ni namna yake ya uwasilishwaji wa anachokimini...ila kamwe fala kama huyu hawezi kuwa freemason.kamwe
 
Kuna nyimbo yake flani hivi anasifia freemason aliitoa kipndi flani mara kuna mwanamke yumo ndani ya sink la damu an etc...nyimbo zake ukizisikiliza vyema utagundua Ney ana maudhui flani hivi ya mashairi yasiyo na Mungu wa Mbinguni ndani yake but huyu mungu wa duniani, me nlimfuatilia tangia ngoma yake ya kwanza aliyoshirikishwa na binti flani hivi mpaka ya wamepanda wameshuka an etc...
Kuna moja ya zaman kidgo wakat ndio anatoka toka,,alisema utajisikiaje mama yangu akimchapa kofi baba yako,,,na sehem nyingine akasema baba yake akifa yeye anaenda disco
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom