akohi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 787
- 527
mkuu,nikipata muda nitakueleza kichuri ni nini,dah mkuu natamani likizo ifike haraka nisepe zangu home
Kichuri sio uchafu maana inachemshwa na kuiva.
Mnyama yeyote mula nyasi ana matumbo mawili (kubwa na dogo) na ndo maana mchana kutwa anakula tu then jion anacheua na kuanza kutafuta na kumeza. Akiisha meza kile chakula kinachanganyikana na nyongo ili kirainishwe then kinaenda kwenye utumbo mdogo tayari kuwa absobd mwilini ili huyo kiumbe apate nguvu, sasa baada ya kufyonzwa mwili ambapo ni pure food/ingrients sasa yale makapi ndo choo, kichuri ni ule rojorojo ambalo ndo linakuwa tayari kufyonzwa i mean kuwa absorbed mwilini so its among best and pure food or sauce ever maana inakila kitu ambacho kinahitajika kwa mlaji na ndo maana ulila huvimbiwi na pia inapunguza madhara ya nyama ya mbuzi hasa kwenje joints na ndo maana mara hakuna mgonjwa wa gaoti.
Ili kupata taste nzuri unachanganya na nyongo, chumvi, pilipili, ndim then ipike iive vizuri.
Ni bonge la apetiser😉:thumbup::thumbup: