Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,602
- 22,707
Hiki kikombe nakumbuka nimetumia sekondari 2005 ila mpaka sasa kipo, juzi kati nilienda kwa wazazi nikachukua kama kumbukumbu
Hiki kikombe nakumbuka nimetumia sekondari 2005 ila mpaka sasa kipo, juzi kati nilienda kwa wazazi nikachukua kama kumbukumbu
View attachment 3595478
Vitu vya zamani vilkua vinatengenezwa kwa uimara sana,bila shaka hicho kikombe kimeshakula mizinga ya kudondoswa sakafuni mara kibao ila bado kipo imara
Miaka ya 1980, baba yangu alinunua redio casette player. Kpindi hicho kila mtu alikuwa anaishangaa. Tulikuwa tunaona ni kama ina ''vidude'' vingi sana vya kubonyeza, mtu hujui ubonyeze kipi. Alikuwa anaitumia wakati yupo nyumbani tu, kusikiliza redio na kanda za dini. Ilikuwa inafungiwa ndani muda wote. Fast foward baada ya sisi kukua na kuondoka nyumbani na wazazi kufariki, bado iko, mpya kwa sababu haikuwa inatumika au sahihi kila mtu alikuwa anaogopa kutumia asije kuharibu.Hii nimeitunza hapa mwaka wa nne huu...😋View attachment 3595498
Hii comment ingeambatana na picha ingekua poa sana.Miaka ya 1980, baba yangu alinunua redio casette player. Kpindi hicho kila mtu alikuwa anaishangaa. Tulikuwa tunaona ni kama ina ''vidude'' vingi sana vya kubonyeza, mtu hujui ubonyeze kipi. Alikuwa anaitumia wakati yupo nyumbani tu, kusikiliza redio na kanda za dini. Ilikuwa inafungiwa ndani muda wote. Fast foward baada ya sisi kukua na kuondoka nyumbani na wazazi kufariki, bado iko, mpya kwa sababu haikuwa inatumika au sahihi kila mtu alikuwa anaogopa kutumia asije kuharibu.
Aah vikombe vya siku hizi vinadeka sanaNi kweli, kuna siku kilombe cha udongo, kiliponyoka mkononi, aisee ni chenga tupu sakafuni. Kiliisha chote. 😊
Unainusa hapo katikati? Hiyo michezo tumeifanya sana tukiwa bado vijana wadogoHii nimeitunza hapa mwaka wa nne huu...😋View attachment 3595498
Aah vikombe vya siku hizi vinadeka sana
Tenga bajeti ya vyombo kila mwaka hamna namnaWatoto ndio wanapukutisha vitu cha mchina siku hizi. Kila baada ya muda utasikia unaambiwa vikombe vimepungua. Madogo wanavibamiza.
Tenga bajeti ya vyombo kila mwaka hamna namna
Dah 😅😆Hiki kikombe nakumbuka nimetumia sekondari 2005 ila mpaka sasa kipo, juzi kati nilienda kwa wazazi nikachukua kama kumbukumbu
View attachment 3595478