Kichuri

Kichuri

Hahahaha burunga ya sasa uwanja wa ndege, umevuta mwikoma, mwisenye au mnata???

Nimevuta Mungoreme kwao ni pale karibia na shule ya msingi ambapo mwekezaji wa VIP ameshawalipa eti wahame kupisha ujenzi wa uwanja wa ndege
 
Ahahhaha mungoreme burunga alifuata nin??? Wangoreme weng wako chamoto huko kwenda matare, haya kaka fresh,,,,Hahaha, ndo maana cku hzi panaitwa uwanja wa ndege, mwekezaji ashafanya yake mhh
 
Wahamiaji tu pale maana mzee alikuwa mwajiliwa wa serikali maeneo ya pale, hahaha nikimtaja utamfahamu maana alikuwa maarufu kiasi
 
Sipo huko muda mref hua mpitaj so n ngum kujua n nani??

Du basi bwana ila nataka nikajaribu bahati yangu nataka niamgalie namna ya kuchukua jimbo la Serengeti maana hata kama Dr.Kebwe ni ndugu kwa mke wangu hajalifanyia chochote jimbo la Serengeti na naamini ntaweza maana kama Dr.Kebwe aliweza kumtoa Dr.Wanyancha wakati alipokuwa naibu waziri wa uvuvi na mimi sioni shida kumtoa Kebwe hata kama na yeye ni naibu waziri.Mniunge tu mkono mimi kijana mwenzenu
 
Haya ucjary tupo pamojaaa
 
Mh. Napita kimya manake ntatolewa nduki. (Ila nyongo uile hivi hivi unajiona? Yuckk!)
 
attachment.php
 
Hiyo rangi ya ugali wa mtama kama kiny...!!!

umeona aibu kumalizia au? umehisi nafsi inakusuta mkuu?

Waafrika ni viumbe wa ajabu sana wakati mwingine!

Utajifanya huujui mtama ama uwele unaolimwa Dodoma!

Maisha ya kuigiza si mazuri kabisa mkuu...

Shame on you!

sipendi madharau aisee!

others do not think about others indeed..
 
Mbona unabwatuka? Ugali huo kwenye picha una rangi ya Kinyesi tena cha Mbwa koko!!!!

Huo mlo unaouna kwenye picha hapo una manufaa gani kwenye mwili wa binadamu? Sana sana kumsaidia kwenda kujaza choo!!!

Upumbavu ni kipaji...!!!!
 
waaaaat ugali wa mtama huo mboga yake samaki hapo saaaaafi vinaenda looo
 
Back
Top Bottom