bornagain
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,383
- 1,360
Lols. Kimoro ndo nini mkuu?
Kimoro ni nyama ya porini (eg inaweza ikawa ya nyati, swala, nyumbu, twiga, ngiri etc) halafu inakaushwa kwenye moshi wa kuni au moto au jua.
Lols. Kimoro ndo nini mkuu?
Wahamiaji tu pale maana mzee alikuwa mwajiliwa wa serikali maeneo ya pale, hahaha nikimtaja utamfahamu maana alikuwa maarufu kiasi
nakumbuka nyumbani sana
Hii kitu nimekumbuka mbali sana, penda sana hiyo kitu
obhukima bhwa amahemba!!!!
Kichuri woyeeeenakumbuka nyumbani sana