Pole! Kichunusi hicho, dawa yake ni kupata karafuu, kile kichwa cha karafuu kiloweshe kikilainika sugua nacho polepole baada ya kubetua kope hizo pale kinapoonekana kichwa cha kijipu mbuzi hicho baada ya muda mfupi ama siku moja kitapotea.
Tahadhari: usitumie nguvu na kuchubua sehemu hiyo.
Kuna kichunusi kikubwakubwa kimeniota jichoni(kwenye kope za chini ),
hakiumi ila kinanikosesha raha kweli!
Naskia kinaitwa kijpu mbuzi........
Naombeni mnaojua dawa yake mnisaidie.
we utakua wa kuperamiho tupole sana! Sie kule kwetu unamchukua mtoto mdogo wa kiume halafu kale kadudu kake anakagusagusa hapo kwenye jicho kitaisha.