Kichunusi kama kijipu kimetokea kwenye kope za jicho nisaidieni dawa jamani... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kichunusi kama kijipu kimetokea kwenye kope za jicho nisaidieni dawa jamani...

Discussion in 'JF Doctor' started by mama D, Jul 6, 2011.

 1. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kuna kichunusi kikubwakubwa kimeniota jichoni(kwenye kope za chini ),
  hakiumi ila kinanikosesha raha kweli!
  Naskia kinaitwa kijpu mbuzi........
  Naombeni mnaojua dawa yake mnisaidie.
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Tafuta Mbuzi akilambe lambe, kinapotea.
   
 3. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145

  hahahaaa faizafox umenichekesha kweli!
  ah!
  ILA NAOMBENI MSAADA WANAJAMVI SINA RAHA NA HII HALI......
   
 4. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  pole sana! Sie kule kwetu unamchukua mtoto mdogo wa kiume halafu kale kadudu kake anakagusagusa hapo kwenye jicho kitaisha.
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Sie Dar huku huwa tunasema hicho kinakuja ukimla chabo mkweo, sasa mama d, mnhhh. Anyway, nenda kwa daktari wana ki "remove" in 2 seconds, daktari mzzuri wa hivi vi minor surgery, jando na kadhalika, nimjuae mimi, ni Dokta Juma, clinic yake ipo pale club ya Pan Africa mtaa wa swahili, Dar.

  Nakutakia kila la kheri.
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,122
  Likes Received: 6,606
  Trophy Points: 280
  Pole, nenda kwa Dr.
   
 7. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Pole! Kichunusi hicho, dawa yake ni kupata karafuu, kile kichwa cha karafuu kiloweshe kikilainika sugua nacho polepole baada ya kubetua kope hizo pale kinapoonekana kichwa cha kijipu mbuzi hicho baada ya muda mfupi ama siku moja kitapotea.

  Tahadhari: usitumie nguvu na kuchubua sehemu hiyo.
   
 8. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145

  asante sana Mwanamageuko!
  Nitatumia dawa hiyo leo tu nifikapo nyumbani
   
 9. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hahahha Jamani dawa nyengine hasa mikasa.
   
 10. l

  lauti Member

  #10
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  This is serious!nenda kwenye choo ambacho hujawah hata kidogo kujisaidia,hasa choo cha shimo,chungulia/angalia kwa kutumia macho yako yote dakika 1-5,kat ya hzo,sio compulsory dakka 5, utapona!wenyej wa mbeya watakua wanaipata!practice.
   
 11. e

  ejom Member

  #11
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 19, 2009
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Kitaalam kinaitwa CHARAZON matibabu yake ni incision and drainage(I&D)
   
Loading...