Kichuguu ni nini?

Kichuguu ni nini?

๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐ŸฟView attachment 3373727
Nitakuburuza aisee; damu imeanza kunichemka. Nitakuburuza sana nikifikia kikomo cha uvumiliaji. Usitake kunichafulia heshima yangu hapa JF ambapo nimekuwa mwanachama mwaminifu kwa takribani miaka 20 ya kujitolea kwa heshima sana. Ngoja nikapate wanzuki galoni tatu ili kama hutakuwa ume-apolojaize kwangu na kwa mai waifu wangu wakati narudi utapata tabu sana.
 
๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ
 
Kisima cha elimu na maarifa. Zipi njia za kuondoa vichuguu karibu na ma kazi ya watu?
Aliyemkuta mwenzake ndio wa kuondoka.. Kwa kawaida vichuguu huwa haviwafuati watu.. Lakini ukishaona makazi yako yamevamiwa na mchwa sio dalili nzuri. hama!
 
Kisima cha elimu na maarifa. Zipi njia za kuondoa vichuguu karibu na ma kazi ya watu?
Na wewe unataka kununua kesi isiyokuhusu! Ni Marufuku kutumia neno Kichuguu au Vichuguu bila idhini yangu! Ukikiuka, nitakuburuza kwa pilato na utasulubiwa msalabani kwa misumali ya moto. Kabla ya kutumia maneno hayo lazima uombe ruksa toka kwangu.
 
Haki miliki๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ
 
Kichuguu ni ghorofa nyingi zilizopo pale mjini dar es salaam ambazo bado zipo na zilitakiwa kubomolewa zote.

Wabomoe zote Mana siku sio nyingi mtaskia marudio live live.
 
Kichuguu ni ghorofa nyingi zilizopo pale mjini dar es salaam ambazo bado zipo na zilitakiwa kubomolewa zote.

Wabomoe zote Mana siku sio nyingi mtaskia marudio live live.
Duh๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ
 
So
Kichuguu (pia: kingulima, kiduta, kishirazi) ni sehemu au nyumba wanamoishi mchwa baada ya kujijengea kwa udongo waliouchanganya na mate yao.

Umbo la kichuguu linaweza kubadilika, lakini kuna masharti kadhaa ya kuwezesha mchwa kuishi humo ambayo hayaathiri mandhari ya ndani kama vile giza, ubichi, utulivu n.k..

Ili kichuguu kiwe hai lazima malkia awe hai kwani yeye ndiye anayetaga mayai kwa ajili ya kuzaa mchwa na kumbikumbi. Ndani ya kichuguu utakuta nyumba ya malkia ikiwa na ulinzi wa mchwa wengi sana.

Malkia huwa ni mweupe mwenye ngozi laini sana; kwa ndani ni kama ana majimaji au mafuta (kiowevu).View attachment 3372926 hapo chini utaona picha tofauti za vichuguu lakini haya ni maumbo ya nje tuu.. Huko ndani formation ni mojaView attachment 3372927
Sorry, hivi Mchwa wakiwa wakubwa na kuzeeka ndio wanakuwa Malkia? Au wanakuwa tu kumbikumbi?
 
Back
Top Bottom