Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,215
- 165,811
Afu nikiwaita likizo wazazi mnakua mna makasiriko 😁Huko shuleni nahisi umesharibu mbavu za watoto wetu,.🤣🤣
Afu nikiwaita likizo wazazi mnakua mna makasiriko 😁Huko shuleni nahisi umesharibu mbavu za watoto wetu,.🤣🤣
Hata hivyo mpaka umfikie malikia unakuwa umeshakisambaratisha.. Ila wakifanikiwa kumchifa.. Kichuguu kitajengwa upya tena fasta sanaKwamba kuua kichuguu mpaka uuwe malikia,hz story huwa nazisikia sikia
Kwahyo mchwa wana malikia,nyuki pia na siafu
Malikia wa mchwa na malikia wa nyuki na kucha za mnyama mshana kamwandika hapo juu anaitwa muhanga huwa wanaweka kwenye biashara kuvuta watu..Mkuu wanasemaga malkia wa mchwa ni wathamani sana,.
Anatumika kufanyia Nini???
Ile rangi yao tu kama mende dah sijui watu wanawalaje, bora visenene.Ila hawana tabia za mende za kupenda mafi😂😂😂
OkMalikia wa mchwa na malikia wa nyuki na kucha za mnyama mshana kamwandika hapo juu anaitwa muhanga huwa wanaweka kwenye biashara kuvuta watu..
Ila kuvipata hivo vitu sio rahisi unaweza tumia miaka kuvipata..
Anyway wee piga kazi kama punda mradi usife njaa.
Tusifanyiane mzaha ndugu yanguKichuguu (pia: kingulima, kiduta, kishirazi) ni sehemu au nyumba wanamoishi mchwa baada ya kujijengea kwa udongo waliouchanganya na mate yao.
Umbo la kichuguu linaweza kubadilika, lakini kuna masharti kadhaa ya kuwezesha mchwa kuishi humo ambayo hayaathiri mandhari ya ndani kama vile giza, ubichi, utulivu n.k..
Ili kichuguu kiwe hai lazima malkia awe hai kwani yeye ndiye anayetaga mayai kwa ajili ya kuzaa mchwa na kumbikumbi. Ndani ya kichuguu utakuta nyumba ya malkia ikiwa na ulinzi wa mchwa wengi sana.
Malkia huwa ni mweupe mwenye ngozi laini sana; kwa ndani ni kama ana majimaji au mafuta (kiowevu).View attachment 3372926 hapo chini utaona picha tofauti za vichuguu lakini haya ni maumbo ya nje tuu.. Huko ndani formation ni mojaView attachment 3372927
ONYO KALI na TAARIFA kwa UMMA: Kichuguu ni mimi; na ndiyo trade mark yangu. Ukinichokoza zaidi kunivunjia heshima, nitakuvurumisha kwa pilato utundikwe msalabani. Kwa hiyo tuheshimiane kabla sijachukua maamuzi hayo mazito. Bado najua wewe ni ndugu yangu ila tukiendelea kuvunjiana heshima, undugu utafutika na utaishia msalabani kwa misumali ya moto.
Kumbikumbi ni mchwa aliyenona akaota mbawa feki!Hivi kumbikumbi na mchwa undugu wao ukoje? Au kumbikumbi ni mchwa aliechangamka?
🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿ONYO KALI na TAARIFA kwa UMMA: Kichuguu ni mimi; na ndiyo trade mark yangu. Ukinichokoza zaidi kunivunjia heshima, nitakuvurumisha kwa pilato utundikwe msalabani. Kwa hiyo tuheshimiane kabla sijachukua maamuzi hayo mazito. Bado najua wewe ni ndugu yangu ila tukiendelea kuvunjiana heshima, undugu utafutika na utaishia msalabani kwa misumali ya moto.
NI MARUFUKU KUTUMIA NENO KICHUGUU MAHALA POPOTE BILA IDHINI YANGU
Kisima cha elimu na maarifa. Zipi njia za kuondoa vichuguu karibu na ma kazi ya watu?