Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,100
- 8,213
😀 😀 😀 😀 Eti Mchwa aliechangamka.
Hawa mchwa waliojenga kichuguu hiki kama wasingechanganywa lugha wangejenga mnara wa babeli
Duuh inawezekana kumbi kumbi ni mchwa walio zeekaHivi kumbikumbi na mchwa undugu wao ukoje? Au kumbikumbi ni mchwa aliechangamka?
Nikahisi labda sijui wanatumika kufanya Nini mwe!,.Hata hao wanaosema ukiwauliza hawajui.. Na hiyo thamani ni thamani gani hawajui😂😂
Labda kwa vile ni vigumu sana kumfikia ndo sababu
asante kwa maarifaKumbi kumbi ni mchwa waliozeeka
Hivi kumbikumbi na mchwa undugu wao ukoje? Au kumbikumbi ni mchwa aliechangamka?
Kama nakumbuka sawa, kumbi kumbi ni mchwa wenye jinsia. Huwa wanaota mabawa na kuruka kwenda kuanzisha vichuguu vipya. Kule kuota mabawa na kuruka ni namna ya kujisambaza.Kumbi kumbi ni mchwa waliozeeka
Serious?? ....afu kwa mbali wanafanana na mende, usikute kuna ka undugu na mende piaKumbi kumbi ni mchwa waliozeeka