Kichuguu kilichoiangusha meli kubwa ya TITANIC

Kichuguu kilichoiangusha meli kubwa ya TITANIC

Daaaaah umetumia mfano mzuri sana mshana,nimekuelewa [emoji122] [emoji122]
 
Mwaka huu watu watapata akili sana..Kiongozi bora ni yule anayefanya watu wake wawe na akili
 
Sifa moja kubwa ya binadamu walio wengi ni unafique, lakini vilevile hawa wanaweza kumponda huyo na kamsifu yule kwa nia ya kumchora tu... Kwakuwa pengine wameshagundua jamaa anapenda sana kusifiwa na kukosolewa kwake mwiko
Ndicho anachokifanya Gwajima
 
a4ed177badcb3190e10abd061ae70cd3.jpg
furaha hii ya hawa wawili ilikuwa furaha ya kweli na mmojawapo akaishi na maumivu ya kumbukumbu hii miaka mingi hadi kifo chake
Sekunde hizi chache za kuwa kwenye hiyo furaha ndio Zilizikwa Chanzo cha kuanguka kwa meli kubwa iliyotengenezwa kwa gharama kubwa na muda mrefu
Furaha hii ndio ilisababisha maelfu kufa maji, maelfu kukosa wazazi ndugu jamaa na marafiki
Mkulu Bob furaha yako ya sasa jeuri yako ya sasa dharau yako ya sasa, mahaba yako ya sasa jitafakari... Chombo kisije kwenda mrama... Na kwakuwa jeshi liko nyuma yako....hatutaki kuona makaburi Kama yale ya TITANIC
Hatutaki kuona yatima Kama wale wa Titanic
Hatutaki kuona uharibifu kama ule wa titanic
Mahaba yaliiangamiza Titanic.... Chonde Chonde mahaba yasiiangamize kaya yetu tukufu
 
thICONATOR_40e8e89ee3a2db3ba36a449.jpg

Never let go bash boy....[emoji8] [emoji47]
Never let you go.....!!!!
 
kaka nimekuelewa na nmekupata binafsi titanic ndo movie bora kwangu lakn sikuwah kufanya comparison na siasa ya bongo kwatulipo fikia KUNA MMOJA ATABAKI MPWEKE NA ATAJIHUKUM MWENYEWE
 
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umetisha sana Mkuu,mwalimu mzuri Bi Yule anayeweza kutoa mafundisho kwa kutumia mambo yaliyopita na kuyalinganisha na wakati tulionao,mwenye uwezo wa kuuhisha yale yalioonekana yamepitwa na wakati.
 
Umetisha sana Mkuu,mwalimu mzuri Bi Yule anayeweza kutoa mafundisho kwa kutumia mambo yaliyopita na kuyalinganisha na wakati tulionao,mwenye uwezo wa kuuhisha yale yalioonekana yamepitwa na wakati.
[emoji120] [emoji817] [emoji115] [emoji111]
Inamhusu jamaa abaejifungia ndani ucku na devi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji40] [emoji40] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Titanic ilianza safari kwa matumaini makubwa mno, na abiria hawakuwa na chembe ya wasiwasi kwakuwa waliaminishwa kwamba Titanic is unsinkable HAIZAMI hata iweje
Mwanzoni zilionekana nyuso nyingi na mandhari tofauti ya kuvutia na kutia simanzi
Lakini taratibu mambo yanabadilika na habari nzima inahamia kwa watu wawili tu Rose Winslet na Leonard DiCaprio (bash boy & Bob?)
Nahodha anakuwa hasikiki tena (katelephone?) timu ya mabaharia (wabunge na mawaziri?) wakuu wa vitengo mbalimbali ndani ya meli(Tangangika?)....list ni ndefu.... Titanic is back in our actual life[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] God prevail
Mfano mzuri ila ni Kate Winslet na siyo Rose
 
Back
Top Bottom