Kichuguu kilichoiangusha meli kubwa ya TITANIC

Sifa moja kubwa ya binadamu walio wengi ni unafique, lakini vilevile hawa wanaweza kumponda huyo na kamsifu yule kwa nia ya kumchora tu... Kwakuwa pengine wameshagundua jamaa anapenda sana kusifiwa na kukosolewa kwake mwiko
Hata kama ni wewe sijui kama utapenda kukosolewa !!

Nini maana ya kukosolewa na uzito wake?

Kuna maneno ukiyatumia lzm yalete impact mbaya na ya kawaida

Pengine wangetumia neno la ushauri ingekuwa bora kuliko neno kukosoa

Kuna maneno mfano naomba mniwie radhi modurator na wanajf maneno mfano **** ni neno Kali tofauti na mtu kutumia neno uke.

Neno kutiombano ni Kali kuliko neno tendo la ndoa nadhani wakilekenisha kauli badara ya neno kukosoa watumie kushauri
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hata kama ni wewe sijui kama utapenda kukosolewa !!

Nini maana ya kukosolewa na uzito wake?

Kuna maneno ukiyatumia lzm yalete impact mbaya na ya kawaida

Pengine wangetumia neno la ushauri ingekuwa bora kuliko neno kukosoa

Kuna maneno mfano naomba mniwie radhi modurator na wanajf maneno mfano **** ni neno Kali tofauti na mtu kutumia neno uke.

Neno kutiombano ni Kali kuliko neno tendo la ndoa nadhani wakilekenisha kauli badara ya neno kukosoa watumie kushauri
.........
 
Nimeoteshwa ndoto ya kutisha lakini yenye mwanga mkali eti Mangwe Kimambi ndio kile kichuguu kilichoiangusha Titanic [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
utaua watu [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mimi siyo mfuatiliaji sana wa mambo ya siasa lkn naweza sema kweli serikali iliyopo madarakani haikosoleki.

Lkn ushauri inapokea , niliangalia kile kikao cha rais na wafanya biashara .

Ukweli walijieleza na kunasehemu rais alikubali kabisa na kuusema waziwazi udhaifu wa baadhi ya watumishi serikalini .

Na alimalizia kwa kusema ushauri wenu tumeupokea tutaufanyia kazi .

Lkn ukweli jamaa kabana mianya mingi iliyokua I avujisha fedha na watu kuzipata ktk mzunguko vyema pasipo shida

Pengine mapato mengi yameshuka mpaka makanisani wachungaji , mashehe na mapadri lzm kunamtikisiko furani

Tena na tena niwiwe radhi Pengine kwa mchango ambao hautawafurahisha wengine.
 
.
IMG-20180406-WA0022.jpg
 
Back
Top Bottom