swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,630
duhhhh kazi kweli kweli
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji111] [emoji111] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji120] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Wakati haudanganyi,kama leo mfalme sulemani angekuwepo basi angesema yote ni ubatili.
Kila mtu atakabiliana na uhalisia
[emoji24] [emoji24] [emoji24] my apology kwa kukutonesha kidonda pole Sana Sana, maumivu yake ni wewe pekee unayeyajua katika uhalisia wakeMshana hata mimi mpenzi wangu alifariki kwenye ile ajali ya nungwi..same story na iyo ya titanic..daaah umenikumbusha mbali mkuu
aah poa mkuu,ngoja ntajaribu kutafuta vyoteMmh sijui takipata wapi mimi nilikisoma mwaka 1989, ukitaka uhondo pata movie yake
[emoji2]Nimeoteshwa ndoto ya kutisha lakini yenye mwanga mkali eti Mangwe Kimambi ndio kile kichuguu kilichoiangusha Titanic [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]