Kichaa Trump kajitoa mashirika ya UN, akija mwingine say kutoka Democrats, anayarudisha!

Asikudanganye mtu, hii dunia bila kuwa na mbabe mmoja ingekuwa haikaliki.

Imagine tayari dunia nzima inaangalia na kuna sheria za ndani na za kimataifa za kuwalinda raia ila bado kuna washenzi wanadiriki kuua raia wao bila kujali chochote. Ingekuwaje jicho la dunia lisingekuwa linawamulika?
 
Alipandisha Ada ya uanachama wa NATO kutoka 2% Hadi 5% muhula wake wa kwanza alipokuja Biden aliacha vile vile

alirudisha vikwazo vya uchumi kwa Iran kwa asilimia 200% baada ya Obama kuvipunguza mpaka leo vipo vilevie

democratic na Republican wanatofautiana kwenye
1.uhamiaji
2. Ushoga

democratic wanapigia debe uhamiaji ilwapate walipa kura wa kigen na Republican wanapigania utaifa

sera nyingi zinaendana
 
Well said
 
Kumbe hata nyie dada poa mnajua siasa za dunia , mimi nilidhani mko uptudeti na rangi za kondom
 
Wote republican na democratic lengo lao ni marekani tu, kwan hao democratic si ndo walimmaliza gaddafi, kwmb trump ni kchaa mtu anayetetea kodi za wamarekani kwa maslahi ya taifa lao ni kchaa je haya matakataka uku africa yatakuaje?
 
Hakuna cha Republikan wala Democrat, wote wasenge
Marekani hivi ndio wanatakiwa kupelekewa moto

1767982712551.png
 
Let us wait and see baada ya miaka 3 iliyobaki ya Trump!
This man is unfit for that job. America imeingia mkenge. Mchizi ameharibu mifumo mingi sana ndani ya muda mfupi. Wakitaka kuirejesha hiyo mifumo, tawala zijazo itabidi zifanye kazi ya ziada!
 
Democratic walishusha sana hadhi na thamani ya Marekani ulimwenguni,Trump anairudisha.
 
Back
Top Bottom