Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,499
Mara utasikia ameuawa na kitu kilichokua kikiruka, hawataki kabisa kusema amepigwa bomu
Inabidi awe makini anapo enda kuchukua habari unaweza ambiwa wananchi wenye hasira kali walijua ni jambazi
Mara utasikia ameuawa na kitu kilichokua kikiruka, hawataki kabisa kusema amepigwa bomu
Dr.Slaa alikuwa anaisemaje CHADEMA wakati yuko CCM???
Dokta wa mananasi!kibwana dachi anamuitaga kikwete 'dokta'
.........Siasa kweli ni mchezo mchafu... Wassira huyu amesahau alikotoka....
Akiwa ccm kipindi hicho Chadema haikuwepo.... Au weka facts hapa dr alihama ccm na kujiunga na cdm lini?Dr.Slaa alikuwa anaisemaje CHADEMA wakati yuko CCM???
Wasije wakamng'oa kucha tu na kumtoboa macho...Hakika kila Mbuyu na shetani wake! Katika vitu ambavyo vimenifurahisha asubuhi hii ni kitendo cha nguri wa habari Ndugu Kibwana Dachi kumtamkia LIVE bila chenga kuwa Wasira hana weredi wa uondozi wala uvumilivu wa kisiasa hata cheo alichonacho ni cha kuhongwa tu!
Zaidi ya hapo amewataka wana habari kumuumbua kwa kutumia mikanda yake ya maneno aliyokuwa akiyatoa juu ya Serikali ya CCM wakati yupo upinzani.
Hongera sana Kibwana! Tunahitaji wanahabari wenye kujiamini kama wewe.
Hakika kila Mbuyu na shetani wake! Katika vitu ambavyo vimenifurahisha asubuhi hii ni kitendo cha nguri wa habari Ndugu Kibwana Dachi kumtamkia LIVE bila chenga kuwa Wasira hana weredi wa uondozi wala uvumilivu wa kisiasa hata cheo alichonacho ni cha kuhongwa tu!
Zaidi ya hapo amewataka wana habari kumuumbua kwa kutumia mikanda yake ya maneno aliyokuwa akiyatoa juu ya Serikali ya CCM wakati yupo upinzani.
Hongera sana Kibwana! Tunahitaji wanahabari wenye kujiamini kama wewe.
Oya..we Pilau iyo miandishi yako ya langi nyekundu inaumiza macho bana aaah. Fanya iwe nyeusi tutasoma tu. mbona umesema pointi sana?! tatizo iyo milangilangi sasa. em fanya ziwe nyeusi aiseee....
Ikiwa nyama ya nguruwe ni haramu lakini ikitokea unataka kufa kwa njaa waweza kula ili mradi usife kafir unadhani hapo Wassira angefanyaje??? Njaa ya kisiasa hiyo. Nakumbuka alikuwa NCCR Mageuzi Mama Maria Nyerere akaenda kwa Mkapa kumuombea arudishwe serikalini baada ya kuwa choka ile mbaya.
Ukizama maji akapita nguruwe ule mkia ni mrefu sana kuokoa hata watu watano kwa kuushika.
Ni kiongozi gani ambaye hakupitia CCM hata hao miungu mtu akina SLAA, na wabunge wenu wengi walikuwa ccm je ni njaa ziliwaondoa ccm au ninyi mnamuona wasira tu kweli wasira anawatesa na mwaka huu mtakoma.
..... Sio kosa lako .......Najua unaakili kama za Wassira ... some times NO some times YES....hala hala usilale bungeni.......
Nyoooooo! Wassira mwenyewe ....
Jamani itikadi nyingine bana noma! hebu ona unavyoacha kujadili hoja ya kibwana na kuanza kumsakama binafsi! halafu una shida ya shule eti.Ktk waandishi wa habari bogus ni kibwana dachi, huyu ni amevamia fani na hajui alifanyali, waandishi wa aina hii ndio huchochea machafuko ktk nchi mbalimbali. Shame of u kibwana dachi. Zamani Akiwa Salum mwalimu nilipenda kuangalia kipindi cha asubuhi njema cha Chanel ten now tangu akiendeshe huyu jamaa kimepoteza mvuto kbs!