mij
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 1,993
- 2,121
[FONT=times new
roman]Hakika kila Mbuyu na shetani wake! Katika vitu ambavyo
vimenifurahisha asubuhi hii ni kitendo cha nguri wa habari Ndugu
Kibwana Dachi kumtamkia LIVE bila chenga kuwa Wasira hana weledi wa
uondozi wala uvumilivu wa kisiasa hata cheo alichonacho ni cha kuhongwa
tu!
Zaidi ya hapo amewataka wana habari kumuumbua kwa kutumia mikanda yake
ya maneno aliyokuwa akiyatoa juu ya Serikali ya CCM wakati yupo
upinzani.
Hongera sana Kibwana! Tunahitaji wanahabari wenye kujiamini kama
wewe.[/FONT]
Wassira ana mambo ya kitoto na uelewa wake ni mdogo mno!!!