cc ladyfurahia
Nini tena Mrembo by Nature ?
Mmefumaniana?
love u n'miss umuch honey!!aisee Mentor pole sana me na my akanana Passion Lady milele daima!
Huu sasa Mzaha! Sie kwetu hakunaga kuachana kabisaa! FUTA mawazo....
Haya where is my beloved brother Mentor aje anieleze huyu mrembo kamkwaza nini? :eyeroll1:
Huyo alikuwa hawala tu mwenye mume ni ladyfurahia ndo maana bidada ameamua kusepa mapema!
Nahisi pia maombi ya ladyfurahia yamejibu coz hakupendezwa kabisa na tabia ya mumewe kumrundikia smolo hausi wengi. Ndo sasa unaona wanaanza kuondoka mmoja baada ya mwingine.

Duh... Inabidi nitoke huku kijijini nije home naona mambo yanaharibika! Kwanini asioe wote wawili? Kwani ladyfurahia na Mrembo by Nature hawaelewani kama mimi na gfsonwin tunavyoelewana?
We ishakula kwako na mwambie AshaDii mitala ipo ila sio kwa dada yangu ladyfurahia na hivi ninavyoongea keshahamia zake Airtel kwaExcellent na hana wazo la kurudi kwenye MAHABA SACCOSCc: Mrembo by Nature, Erickb52 (nadhani u played a part in this), ladyfurahia, Kipipi, Catherine, vivian et al...
We ishakula kwako na mwambie AshaDii mitala ipo ila sio kwa dada yangu ladyfurahia na hivi ninavyoongea keshahamia zake Airtel kwa@excellent na hana wazo la kurudi kwenye MAHABA SACCOS
Cc: Mrembo by Nature, Erickb52 (nadhani u played a part in this), ladyfurahia, Kipipi, Catherine, vivian et al...