Kiburi cha Polepole kimefika mwisho

Hiyo paragraph ya pili inahitaji PhD mpaka uelewe kilichoandikwa

Anyway but me namkubali Polepole anaongea ukweli na ana element za umagu
Mtu kakakaa kwenye siasa miaka minne tu anaanzisha darasa la siasa na uongozi!!!

Hii nchi ina washenzi wengi sana.
 
Mheshimiwa Mbunge ajue kutesa ni kwa zamu,awe mpole atafikiriwa siku za usoni, bado kijana.Aache league na Mamlaka iliyopo madarakani kwa wakati uliopo.Huo ndiyo ukomavu wa kisiasa.
 
Mimi sio ccm ila wafanye hivyo huyu fa..la katusaliti katiba mpya
Jinga sana!!na kinachomsumbua sasa ni njaa tu, kwani kipindi cha meko, alikuwa anaishi, peponi sasa ghafla tu , unaanza kuishi kwa kuunga unga lazima ubongo ucheze kidogo!!!unafikiria hata bashiru huko aliko yupo sawa kweli?!!!
 
Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa.

Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa chama kuondolewa ndani ya chama. Ashukuru Mwendazake alimpatia nafasi ya viti maalum leo hii wangekuwa wanampaka mate tu.
Kupakwa mate wapi
 
Hiyo paragraph ya pili inahitaji PhD mpaka uelewe kilichoandikwa

Anyway but me namkubali Polepole anaongea ukweli na ana element za umagu
Dawa hapa aunge juhudi mkono juhudi za madai ya katiba mpya.
 
Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa.

Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa chama kuondolewa ndani ya chama. Ashukuru Mwendazake alimpatia nafasi ya viti maalum leo hii wangekuwa wanampaka mate tu.
Mwacheni kuzimziba mdomo ,ni haki yake ,mama kasema acha watu waongee yaliyoko moyoni mwao,
After all CCM siyo mama yake mzazi ,kama vipi wachukue kadi yao ,sio kumsimanga na kumnyamazisha
 
Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa.

Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa chama kuondolewa ndani ya chama. Ashukuru Mwendazake alimpatia nafasi ya viti maalum leo hii wangekuwa wanampaka mate tu.
Umelogeka wewe,kwa hiyo ulitaka nani aat

Kwa hiyo huo mwisho wake unao wewe au chama chake?
Na wewe ni nani mpaka umpe mtu mwingine misho wake?
 
U
Katika fikra zake, Polepole anaamini yeye ni zaidi ya chama kilichompa ubunge viti maalum. Yeye ndiye Msomi na yeye ndiye Mbunge mkubwa wa chama na vilevile yeye ni mwenye pumzi ya chama anaweza kutikisa kwasasa.

Muombeeni Polepole, anapoeleka ni kubaya zaidi alipotoka yeye si katibu mwenezi wa chama kuondolewa ndani ya chama. Ashukuru Mwendazake alimpatia nafasi ya viti maalum leo hii wangekuwa wanampaka mate tu.
Ubunge Viti Maalum kapewa na Mama baada ya kumtoa ""Umanara""" wa CCM
 
Siasa za CCM sasa ni kutishana na kukaripiana.

Si ruhusa ndani ya CCM kuwa mkweli
UFISADI unatawaliwa na UONGO
UZARENDO unatawaliwa na UKWELI
hivyo ni wakati wa watz kuchagua tuongozwe na uongo au ukweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom