Kibonzo; msako wa kumpata Kigogo unaendelea

Kibonzo; msako wa kumpata Kigogo unaendelea

Halafu ni mtu mwenye juhudi na consistency ya hatari sana. Multitasker.

Anaweza kuwa anapiga spana watu 5 mfululizo huku akiwa ana tweet michezo wiki 3 mfululizo.

Kila muda yuko online 🤣🤣🤣

Kama mimi ndio Rais hata nikimkamata simfanyi kitu.
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom