kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,653
Ukipitia nakala za magezeti kuhusu uvunjifu wa nyuma utajua kigogo gani alivujiwa nyumba na utajua ni nani tafuta nakala za magezeti kuanzia 2014 utaelewaThen ukifikiria maana halisi ya "kigogo"...mtu mwenye high profile.utajua tu kati ya uliowataja nani ni kigogo.