Kibonzo; msako wa kumpata Kigogo unaendelea

Kibonzo; msako wa kumpata Kigogo unaendelea

Mkuu hili linaweza kuwa ndivyo ilivyo. Huenda walinusa harufu ya kufungiwa nje ya system wakaamua kuweka backdoor haraka sana.
Kigogo hayupo mbali na hawa watu nape,membe,january,mzee wa msoga yaani kama sio wote,mmoja wao kati ya hawa lazima anahusika moja kwa moja na kigogo
 
Watu wanamtumia taarifa na kwa sababu zitakuwa zinatoka kwa watu mbalimbali tofauti inampa wepesi kuzilanganisha na kujua ipi ina mashiko na ipi pumba.
Kigogo sio mtu mmoja ni group la watu tofauti tofauti, aiwezekani mtu mmoja kujua mpaka mambo ya Nikki wa pili, mke wake kupelekwa Wista’s Inn,taarifa za hali ya ugonjwa wa Hayati Magufuli,yaani yeye kila kitu anakijua hapana siamini kama ni mtu mmoja anayeendesha hiyo show,litakuwa kundi la watu wenye kupeana taarifa mbali mbali, lakini hakuna jambo lisilo kosa mwisho, Ujumbe wake au kama wao kama group. YOU CAN RUN BUT YOU CAN’T HIDE.
 
Uko sahihi, sio rahisi kutunza siri katika kundi kwa mrefu hivyo.Lazima kungetokea hata uzembe mdogo tu ambao ungefanya wanaswe wote.
Ingekuwa kikundi wangekuwa washagundulika kitambo
 
Narudi tena kigogo ingekuwa kikundi kwa muda wote huu, lazima angetokea msaliti mmoja

Afu anaevumisha fb anamujua kigogo au kigogo ni kikundi cha watu, huyo ni mataga kilaza wa fb
Ni Mtu mmoja mwenye mambo mengi, ingekuwa syndicate wangeshadakwa mapema mno
 
Kigogo sio mtu mmoja ni group la watu tofauti tofauti, aiwezekani mtu mmoja kujua mpaka mambo ya Nikki wa pili, mke wake kupelekwa Wista’s Inn,taarifa za hali ya ugonjwa wa Hayati Magufuli,yaani yeye kila kitu anakijua hapana siamini kama ni mtu mmoja anayeendesha hiyo show,litakuwa kundi la watu wenye kupeana taarifa mbali mbali, lakini hakuna jambo lisilo kosa mwisho, Ujumbe wake au kama wao kama group. YOU CAN RUN BUT YOU CAN’T HIDE.
[emoji849]
IMG-20210322-WA0038.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kigogo taarifa nyingine anatoa kama decoys tu za kuwachanganya maboya.
Hii ni kweli kabisa. Nadhani 50% ya taarifa zake.

Na nyingine nyingi ni za uongo na alishasema kuwa mtachambua wenyewe huko
 
Huyu ni pumba kabisa kigogo sio taasisi ni mtu kama ingekuwa taasisi wangeshauzana
Hapana mkuu kama ni mtu mmoja kuna baadhi ya taarifa asinge pata, harafu ile account ni active sana
 
Back
Top Bottom