Pengine Wewe ni Tiss bila ya kujijua
I wish ningekuwa TISS
[emoji848][emoji848][emoji848]
I wish ningekuwa TISS
[emoji848][emoji848][emoji848]
Kigogo hayupo mbali na hawa watu nape,membe,january,mzee wa msoga yaani kama sio wote,mmoja wao kati ya hawa lazima anahusika moja kwa moja na kigogo
Ingekuwa kikundi wangekuwa washagundulika kitamboKigogo sio mtu mmoja ni group la watu tofauti tofauti, aiwezekani mtu mmoja kujua mpaka mambo ya Nikki wa pili, mke wake kupelekwa Wista’s Inn,taarifa za hali ya ugonjwa wa Hayati Magufuli,yaani yeye kila kitu anakijua hapana siamini kama ni mtu mmoja anayeendesha hiyo show,litakuwa kundi la watu wenye kupeana taarifa mbali mbali, lakini hakuna jambo lisilo kosa mwisho, Ujumbe wake au kama wao kama group. YOU CAN RUN BUT YOU CAN’T HIDE.
Akijibu uni tagHiyo ilinipita
Alisemaje kuhusu mke wa nikki??[emoji848] mama zury
Bro wewe ni warrior wa nini?Keyboard warrior wanaeza hizo mambo[emoji23]
Tupe ushahidi mkuu.Kigogo hayupo mbali na hawa watu nape,membe,january,mzee wa msoga yaani kama sio wote,mmoja wao kati ya hawa lazima anahusika moja kwa moja na kigogo
Kwa sababu zipi sasa?Januari 100%
Inamaanisha kikundi chote kinashabikia MAN CITY?Ingekuwa kikundi wangekuwa washagundulika kitambo
we jamaa😀😀😀😀😀😀Inamaanisha kikundi chote kinashabikia MAN CITY?
Ongelea MAN CITY ndiyo utajua kigogo ni mtu mmoja tu sio taasisi.we jamaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ungeishia kuvunjwa miguu!I wish ningekuwa TISS
[emoji848][emoji848][emoji848]
Hivyo vinyogori vyako navyo havina huo uwezo!Kigogo ashajulikana tangu Jana akina Vero wa FB wamchape spana , nan hamjui Maria sarungi , nan hamjui fatma karme? Hata Mzee alifahamu sema ndo hvo kuwagusa Sana direct watoto wa vigogo Napo kuna shida yake ilibid akae Tu kimya avumilie matusi mpak alipokufa ...... Hao akina February , sjui wanataka nini kwenye hii nchi au wamemilikishwa , anyway JPM amekufa Ila tunaenda shuhudia vitasa vikali sana Tangu nchi hii upate Uhuru ......
Hujui hata kinachoendelea sa hvHivyo vinyogori vyako navyo havina huo uwezo!
Kabisa,ni asset.Halafu ni mtu mwenye juhudi na consistency ya hatari sana. Multitasker.
Anaweza kuwa anapiga spana watu 5 mfululizo huku akiwa ana tweet michezo wiki 3 mfululizo.
Kila muda yuko online [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama mimi ndio Rais hata nikimkamata simfanyi kitu.