T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,096
- 4,578
Kwa tusiofahamu mambo na kuishi kwa mitandao tulifikiri hivyo, dots zinaunganika sasaSio Zitto tena
Kwa tusiofahamu mambo na kuishi kwa mitandao tulifikiri hivyo, dots zinaunganika sasaSio Zitto tena
Halafu kuna muda anandika vitu vya maana kuishauri serekaliHalafu ni mtu mwenye juhudi na consistency ya hatari sana. Multitasker.
Anaweza kuwa anapiga spana watu 5 mfululizo huku akiwa ana tweet michezo wiki 3 mfululizo.
Kila muda yuko online [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama mimi ndio Rais hata nikimkamata simfanyi kitu.
Kiki gani sasa, wakati watu wenyewe ndiyo wamemfollowkigogo anapewa kiki sana na hawa ccm,khaa mtu anakua maarufu kuliko chama cha upinzani???mtu mmoja tu anasababisha twita inafungwa nchini duuu
Hatari sana😂kigogo anapewa kiki sana na hawa ccm,khaa mtu anakua maarufu kuliko chama cha upinzani???mtu mmoja tu anasababisha twita inafungwa nchini duuu
Keyboard warrior wanaeza hizo mambo😂Mtu mmoja hawezi kutweet masaa 24
serikali inampa kiki sana huyu jamaa yaani inamfanya anaoneka mtu flani hivi mwenye uwezo wa kutetemesha sana serikaliKiki gani sasa, wakati watu wenyewe ndiyo wamemfollow
Ungefanyaje[emoji3]I wish ningekuwa TISS
[emoji848][emoji848][emoji848]
Januari 100%Kigogo hayupo mbali na hawa watu nape,membe,january,mzee wa msoga yaani kama sio wote,mmoja wao kati ya hawa lazima anahusika moja kwa moja na kigogo
Muda haudanganyi.Mataga wanahangaika sana
Wa stendi acha masikhara,Bei ya Tai haizidi shati.
Kigogo hayupo mbali na hawa watu nape,membe,january,mzee wa msoga yaani kama sio wote,mmoja wao kati ya hawa lazima anahusika moja kwa moja na kigogo
Ndio ungemkamata gogoki? Yule hawawezi kumkamata maana sio mtu ni ghost.I wish ningekuwa TISS
[emoji848][emoji848][emoji848]
Inawezekana kwani nani anayemjua KIGOGO? Huyo wa MUSIBA anayemsema yuko ulaya kumbe huyo anamsingizia!!! Hawa WAGANGA NJAA wana taabu sana!!!Wanataka tu kumchafua pot,
Kwani kuna siri tena mkuu
Kigogo sio mtu mmoja ni group la watu tofauti tofauti, aiwezekani mtu mmoja kujua mpaka mambo ya Nikki wa pili, mke wake kupelekwa Wista’s Inn,taarifa za hali ya ugonjwa wa Hayati Magufuli,yaani yeye kila kitu anakijua hapana siamini kama ni mtu mmoja anayeendesha hiyo show,litakuwa kundi la watu wenye kupeana taarifa mbali mbali, lakini hakuna jambo lisilo kosa mwisho, Ujumbe wake au kama wao kama group. YOU CAN RUN BUT YOU CAN’T HIDE.