Kibonzo: Hali ya Profesa Lipumba ofisini Buguruni inatia "huruma"

Kibonzo: Hali ya Profesa Lipumba ofisini Buguruni inatia "huruma"

Unachofeli ni kutambua kuwa CUF ni taasisi huwez ukaamka asubuhi tu ukamfukuza mfanyakaz wa taasisi alafu alipo hapo hafanyi lolote kwasababu anajua kuwa hayuko kihalali hapo, kama anajiamin kuna mkono wa nje utamsaidia kwanini asitoke ofisini then wakalinda police?
Kwa kuwa Msajili anamtambua Prof Lipumba, na kwa kuwa Mwenyekiti ndiye kiongozi wa chama, juu ya ruzuku kuna mawili:
1. Prof Lipumba kumtaarifu Msajili juu ya mabadikuko ya account au kubadilisha ma signatories.
2. Pesa ya ruzuku kwa CUF kusimamishwa mpaka mgogoro utakapoisha.

All in all, options zote hizo sio nzuri kwa kundi la Maalim Seif, upate ambao upo kinyume na Msajili ndio utakaohadhirika kwenye suala la ruzuku.
 
Mahakama Itamwondoa Lipumba, Hakuna Majaji watatu watakaa kama Jopo na Kuruhusu Upumbavu wa Serikali ya Magufuli na Lipumba. Ni wazi Cuf wataenda Mahakama Kuomba Mahakama Itoe amri ya Kumwagiza Lipumba aondoke Offi za CUF na asikuze mali wala Nyaraka zozote mpaka Maamuzi ya Mahakama yatolewe. Na Kesi ya Lipumba ni Ya Kijinga Mno Kiasi Majaji wataamua wakiwa hata usingizini "Lipumba, Magufuli wake na Mpiga Mtungi wake wataambiwa Go hang!"
"Quo Warranto"

An application to the High Court praying the same, the Court to summon a person holding an office to come before it(court)and state as to which power he is holding such an office.(Not official defn but mine)
 
Uroho wa Madaraka ni tatizo sana mtu mzima kisha msomi ana jidhalilisha kwa uchu wa madaraka kumbe basi alimtishia nani nyau? ooh 'mie dhamira ina nisuta' je tamaa si ndio ingekuwa ina mnyonga kabisa? kiko wapi sasa, ah! Le Profesere Sitaki nataka shame on you, uko tayari kabisa jahazi lizame mgawane mbao.
 
Dah yaani hajifikiria kabisa kuwa kuna maisha baada ya siasa..!
 
Hahaha. profesa anatengeneza movie. Kwahiyo, zile huduma za.mtu mwenye mke anazipataje???
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Atachanganyikiwa siku sio nyingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom