KatumwaHuyu Prof si mshauri mwelekezi wa masuala ya Uchumi,......au siyo huyu.....maana nijuavyo KAZI ya Mshauri mwelekezi INALIPA sana hasa mwenye elimu hiyo na Uzoefu wa kitaifa na kimataifa...YANINI anahangaika una UCHAIR wa chama, tena ambacho hakijashika Dola?