Ni shedah kwa kweliDuh hayo makomeo aliyojipigia kwa mlango kweli hatoki mtu hapo
nhaha kwahiyo alistaafu kazi za uchumi? kwani lazima afanye siasa?Ilikuwa kama utani,lkn sasa ni ukweli kuwa Prof Haruna Lipumba habanduki Ofisi za Chama Buguruni kwa woga wa "kupoteza" kiti chake.Sasa Prof analala na kuamka humo humo bila kutoka.Ndani ya jengo la ofisi hizo,vyumba vingi vya ofisi kwa sasa si ofisi tena bali ni vyumba vya kulala walinzi na mabaunsa wa kulimlinda Professeri.Mlangoni kufuri lukuki kama geti la magereza
Buguruni haaingiliki,ni mwendo wa mundu,shoka na mapanga ndani ya ofisi.Hali hii viongozi wa Mpito wa CUF wanasema wametoa taarifa polisi na hakuna hatua zinazochukuliwa.Ujio wa Maalim Seif,Wabunge na viongozi wa muda umeshindikana baada ya kupata taarifa kuwa ndani ya jengo hili kuna kambi ya "karate",kunfuu na judo ya vijana ambao ni "walinzi" wa jengo na Profesa ambao wanasubiri kwa hamu wale waliomuondoa Lipumba wasogee wapate cha moto.
Sasa ni tetesi,CUF ya kina Mtatiro imerudisha jengo kwa mmliki ambae nae ametoa siku kadhaa kutaka jengo lake na hivyo Lipumba kutakiwa kuhamisha "makao" yake na kwenda sehemu nyingine kutafuta ofisi.
Ama hakika hali ya Buguruni bado si shwari...Lipumba analala na kuamka,anaoga na kupauka bila kutoka nje ya uzio wa ofisi hizo.Kweli kila siku Afrika,ajabu jipya huzaliwa.
View attachment 409660
Mmmmmh!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Huyu anafanya haya na Haguswi, Mliona Polisi Juzi Wakiwakamata Watu aliodai Wanakuja Kumfanyia Lipumba Fujo, Lakini Lipumba na Wahuni Wenzake ambao Ndio Wanaovunja Sheria Hawaguswi. Hata waliotaka Kuteka na Kuuwa Mhasibu husikii walifanywa Nini. Na Lipumba hawaguswi na Polisi Kwa Kuwa ametumwa na Magufuli Kwa Mgongo wa Msajili Kufanya Ushenzi anaoufanya, Kwanini Nasema Hivi? Ingelikuwa Ni Msajili Peke yake, Polisi wako chini ya Msajili? Bado wangeweza Kulinda Amani Kama wanavyojitapa (Wameambiwa wasimguse na Msajili hatumagi polisi)
Ningekuwa Mimi Ndio Akina Seif na Mtatiro, Lipumba angeshakuwa Swahiba wa Kolimba siku Nyingi. Maana huu Uhuni Unaoendelea Tanzania na Afrika Ni Kama Ule wa Dawa ya Jipu Ni Kulitumbua, Upole na Kubembeleza Hausaidii tena. Na Wapinzani Wajue Mapema Wahairishe Mapema Kutumia Ubunge Kama ajira Maana Kama Wana akili Kuingia Uchaguzi 2020 Na CCM ambao wameshapora Nchi ya Kuifanya yakwao, Itakuwa Ni Kuwahalalishia Ushindi Bandia!
Kazidi woteKuna Maprofesa wengi Oxford, Havard, Makerere, UDSM, Nairobi University, nk, nk ILA kuna Profesa mmoja Buguruni Malapa.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] et bombadia, mkuu umenichekesha sanaNgoja vijana wa LB7BOMBADIA waje kumtetea,
Ilikuwa kama utani,lkn sasa ni ukweli kuwa Prof Haruna Lipumba habanduki Ofisi za Chama Buguruni kwa woga wa "kupoteza" kiti chake.Sasa Prof analala na kuamka humo humo bila kutoka.Ndani ya jengo la ofisi hizo,vyumba vingi vya ofisi kwa sasa si ofisi tena bali ni vyumba vya kulala walinzi na mabaunsa wa kulimlinda Professeri.Mlangoni kufuri lukuki kama geti la magereza
Buguruni haaingiliki,ni mwendo wa mundu,shoka na mapanga ndani ya ofisi.Hali hii viongozi wa Mpito wa CUF wanasema wametoa taarifa polisi na hakuna hatua zinazochukuliwa.Ujio wa Maalim Seif,Wabunge na viongozi wa muda umeshindikana baada ya kupata taarifa kuwa ndani ya jengo hili kuna kambi ya "karate",kunfuu na judo ya vijana ambao ni "walinzi" wa jengo na Profesa ambao wanasubiri kwa hamu wale waliomuondoa Lipumba wasogee wapate cha moto.
Sasa ni tetesi,CUF ya kina Mtatiro imerudisha jengo kwa mmliki ambae nae ametoa siku kadhaa kutaka jengo lake na hivyo Lipumba kutakiwa kuhamisha "makao" yake na kwenda sehemu nyingine kutafuta ofisi.
Ama hakika hali ya Buguruni bado si shwari...Lipumba analala na kuamka,anaoga na kupauka bila kutoka nje ya uzio wa ofisi hizo.Kweli kila siku Afrika,ajabu jipya huzaliwa.
View attachment 409660
Mahakama Itamwondoa Lipumba, Hakuna Majaji watatu watakaa kama Jopo na Kuruhusu Upumbavu wa Serikali ya Magufuli na Lipumba. Ni wazi Cuf wataenda Mahakama Kuomba Mahakama Itoe amri ya Kumwagiza Lipumba aondoke Offi za CUF na asikuze mali wala Nyaraka zozote mpaka Maamuzi ya Mahakama yatolewe. Na Kesi ya Lipumba ni Ya Kijinga Mno Kiasi Majaji wataamua wakiwa hata usingizini "Lipumba, Magufuli wake na Mpiga Mtungi wake wataambiwa Go hang!"Japo tunamdharau Lipumba na kuona kama ameshamalizwa kisiasa, ukweli ni kwamba ngoma bado mbichi sana. Jeshi la Polisi na msajili wanamuunga mkono. Maana yake ni kwamba hata yale mamilioni ya ruzuku ya kila mwezi atapewa Lipumba. Kimsingi kuna loophole ambayo CCM lazima waitumie. CCM wameonyesha wazi hawapendi kukosolewa wala kupingwa katika kila jambo wanalofanya na serikali yao-hivyo mtegemee watatumia kila fursa kuwadhoofisha wapinzani wao.
Sasa badala ya kushangilia ushindi wa battles, tuangalie namna gani CUF itashinda war kwa maslahi ya siasa za upinzani nchini. Pigo kali kwa timu ya Maalim litakuwa kwenye ruzuku. Sina wasiwasi na wazanzibar kuhusu tamaa ya pesa maana waliwahi kususia posho za Baraza la Wawakilishi kwa miaka 5! Lakin je itakuwa sawa kama Lipumba akila pesa zote za ruzuku wakati hakuzitolea jasho la kampeni 2015? Je Lipumba atashindwa vipi kujijenga wakati ana mamilion ya ruzuku? Kwanini aachie uenyekiti alazimike kwenda kushika chaki wakati anaweza kupiga porojo na akakinga mil100 kwa mwezi? Tena hakuna chuo cha kumlipa hata milion10 kwa mwezi!
Wala hata hahitaji 'msamaria mwema' kuendelea kuwepo pale ofisin. Ana uhakika wa kupata ruzuku kutoka serikalini maana serikali inamtambua kama Mwenyekiti wa CUF. Huo ndio mtihani wa Maalim Seif.Sitashangaa Nikiona Mwendawazimu Fulani akatoa Fedha Keshi na Akampa Lipumba fedha za Kununulia hilo Jengo kwa Exploded price!
Mkuu luzuku hapewi mtu ruzuku inakwenda kwe a\c ya chama na wakuuitoa ni mhasibu ambaye nae hawapatani na huyu lipumba so kuhusu ruzuku hapo hawezi kupataJapo tunamdharau Lipumba na kuona kama ameshamalizwa kisiasa, ukweli ni kwamba ngoma bado mbichi sana. Jeshi la Polisi na msajili wanamuunga mkono. Maana yake ni kwamba hata yale mamilioni ya ruzuku ya kila mwezi atapewa Lipumba. Kimsingi kuna loophole ambayo CCM lazima waitumie. CCM wameonyesha wazi hawapendi kukosolewa wala kupingwa katika kila jambo wanalofanya na serikali yao-hivyo mtegemee watatumia kila fursa kuwadhoofisha wapinzani wao.
Sasa badala ya kushangilia ushindi wa battles, tuangalie namna gani CUF itashinda war kwa maslahi ya siasa za upinzani nchini. Pigo kali kwa timu ya Maalim litakuwa kwenye ruzuku. Sina wasiwasi na wazanzibar kuhusu tamaa ya pesa maana waliwahi kususia posho za Baraza la Wawakilishi kwa miaka 5! Lakin je itakuwa sawa kama Lipumba akila pesa zote za ruzuku wakati hakuzitolea jasho la kampeni 2015? Je Lipumba atashindwa vipi kujijenga wakati ana mamilion ya ruzuku? Kwanini aachie uenyekiti alazimike kwenda kushika chaki wakati anaweza kupiga porojo na akakinga mil100 kwa mwezi? Tena hakuna chuo cha kumlipa hata milion10 kwa mwezi!
Tena aliwapa na jina 'Mahintarahamwe''Mie nikikumbuka alivyowaongoza kina Mbowe na Mtatiro kutoka kwny Bunge la Katiba nazidi kucheka
Una Copy ya Mkataba wa Mauziano?Hiyo nyumba wameinunua Cuf toka 2004 sasa hilo la kurudishwa nyumba kwa mwenyewe sijui linatokea wapi! Yaani inaonekana team midevu wameshikwa pabaya na profesa hadi wanachanganyikiwa
Not so fast! Kwanza CUF hawajaenda mahakamani bado. Pili, kwakuwa hili ni suala la kisiasa na lina mkono wa walio juu, usishangae kesi ikicheleweshwa na kupigwa danadana. Pia hata maamuzi ya ajabu yanaweza kutolewa na mahakama kama lile suala la mgombea binafsi. Ila nina imani watatokea mahakama ya rufani. Mpaka hapo Lipumba atakuwa ameshapiga mpunga wa kutosha na labda atakuwa kajijenga kisiasa na hivyo CUF haitakuwa moja tena kama ilivyopata kuwa.Mahakama Itamwondoa Lipumba, Hakuna Majaji watatu watakaa kama Jopo na Kuruhusu Upumbavu wa Serikali ya Magufuli na Lipumbavu. Ni wazi Cuf wataenda Mahakama Kuomba Mahakama Itoe amri ya Kumwagiza Lipumbavu aondoke Offi za CUF na asikuze mali wala Nyaraka zozote mpaka Maamuzi ya Mahakama yatolewe. Na Kesi ya Lipumba ni Ya Kijinga Mno Kiasi Majaji wataamua wakiwa hata usingizini "Lipumbavu, Magufuli wake na Mpiga Mtungi wake wataambiwa Go hang!"