Kibonzo: Hali ya Profesa Lipumba ofisini Buguruni inatia "huruma"

Uongo gani mkuu,,,,, vijana wa Lumumba bwaaana

Hapana sheikh wng,kwanza mimi sina chama kwa sasa! Ila kumzushia mtu haipendezi. Hebu angalia hapo kuna ukweli gani kama sio kujipatia madhambi tu.Hiyo taarifa hata mtoto mdogo hadanganyiki.
 
ea3e47be6172ec33237ca8aa7e631feb.jpg
 
hapo wapi mkuu

Ilikuwa kama utani,lkn sasa ni ukweli kuwa Prof Haruna Lipumba habanduki Ofisi za Chama Buguruni kwa woga wa "kupoteza" kiti chake.Sasa Prof analala na kuamka humo humo bila kutoka.Ndani ya jengo la ofisi hizo,vyumba vingi vya ofisi kwa sasa si ofisi tena bali ni vyumba vya kulala walinzi na mabaunsa wa kulimlinda Professeri.Mlangoni kufuri lukuki kama geti la magereza

Buguruni haaingiliki,ni mwendo wa mundu,shoka na mapanga ndani ya ofisi.Hali hii viongozi wa Mpito wa CUF wanasema wametoa taarifa polisi na hakuna hatua zinazochukuliwa.Ujio wa Maalim Seif,Wabunge na viongozi wa muda umeshindikana baada ya kupata taarifa kuwa ndani ya jengo hili kuna kambi ya "karate",kunfuu na judo ya vijana ambao ni "walinzi" wa jengo na Profesa ambao wanasubiri kwa hamu wale waliomuondoa Lipumba wasogee wapate cha moto.

Ama hakika hali ya Buguruni bado si shwari...Lipumba analala na kuamka,anaoga na kupauka bila kutoka nje ya uzio wa ofisihizo.Kweli kila siku Afrika,ajabu jipya huzaliwa.

Kuna ukweli gani hapo?
 
Uanajuaje kama niyauongo,,,, ukweli ni UPI?

Ilikuwa kama utani,lkn sasa ni ukweli kuwa Prof Haruna Lipumba habanduki Ofisi za Chama Buguruni kwa woga wa "kupoteza" kiti chake.Sasa Prof analala na kuamka humo humo bila kutoka.Ndani ya jengo la ofisi hizo,vyumba vingi vya ofisi kwa sasa si ofisi tena bali ni vyumba vya kulala walinzi na mabaunsa wa kulimlinda Professeri.Mlangoni kufuri lukuki kama geti la magereza

Buguruni haaingiliki,ni mwendo wa mundu,shoka na mapanga ndani ya ofisi.Hali hii viongozi wa Mpito wa CUF wanasema wametoa taarifa polisi na hakuna hatua zinazochukuliwa.Ujio wa Maalim Seif,Wabunge na viongozi wa muda umeshindikana baada ya kupata taarifa kuwa ndani ya jengo hili kuna kambi ya "karate",kunfuu na judo ya vijana ambao ni "walinzi" wa jengo na Profesa ambao wanasubiri kwa hamu wale waliomuondoa Lipumba wasogee wapate cha moto.

Ama hakika hali ya Buguruni bado si shwari...Lipumba analala na kuamka,anaoga na kupauka bila kutoka nje ya uzio wa ofisi hizo.Kweli kila siku Afrika,ajabu jipya huzaliwa.

Mkuu Unayachukuliaje hayo? Kwangu mie ni uzushi tu, kwanza kaongeza chumvi ikolee zaidi na kutufanya tuamini
 
Ilikuwa kama utani,lkn sasa ni ukweli kuwa Prof Haruna Lipumba habanduki Ofisi za Chama Buguruni kwa woga wa "kupoteza" kiti chake.Sasa Prof analala na kuamka humo humo bila kutoka.Ndani ya jengo la ofisi hizo,vyumba vingi vya ofisi kwa sasa si ofisi tena bali ni vyumba vya kulala walinzi na mabaunsa wa kulimlinda Professeri.Mlangoni kufuri lukuki kama geti la magereza

Buguruni haaingiliki,ni mwendo wa mundu,shoka na mapanga ndani ya ofisi.Hali hii viongozi wa Mpito wa CUF wanasema wametoa taarifa polisi na hakuna hatua zinazochukuliwa.Ujio wa Maalim Seif,Wabunge na viongozi wa muda umeshindikana baada ya kupata taarifa kuwa ndani ya jengo hili kuna kambi ya "karate",kunfuu na judo ya vijana ambao ni "walinzi" wa jengo na Profesa ambao wanasubiri kwa hamu wale waliomuondoa Lipumba wasogee wapate cha moto.

Ama hakika hali ya Buguruni bado si shwari...Lipumba analala na kuamka,anaoga na kupauka bila kutoka nje ya uzio wa ofisi hizo.Kweli kila siku Afrika,ajabu jipya huzaliwa.

Mkuu Unayachukuliaje hayo? Kwangu mie ni uzushi tu, kwanza kaongeza chumvi ikolee zaidi na kutufanya tuamini.
Ukifikilia iyo hali inawezekana kuwepo kwani lipumba yuko hapo ofisini ASA cjaona kama kuna uongo wowote sema kama kanogesha2 useme ivo labda
 
Nawaza kwa sauti mkataba wa pango Prof atakuwa kajifungia nao. Kama ni hivyo inakuwaje?
Kwani akijifungia nao kuna shida. Mwenye pango inabidi amdai tu yeye na wafadhili wake ccm.
hapo easy sana, CUF wasilipe kodi ya pango yeye na hao wafadhili wajiandae kulipa na ikibidi wao wapange jengo jingine-kesi inaisha safi kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom