Alfan issa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,291
- 900
Hahaa! kwel Siasa noma aide nimiamin
Mhasibu anatimuliwa na kuletwa mwingine, yaani kutimua mhasibu ni kazi ndogo kwa mwenyekiti. Mhasibu hayumo kwenye katiba ya CUF-hivyo anatimuliwa kirahisi tu. Pia suala la CUF lilikuwa rahisi sana kama lisingekuwa na mkono kutoka nje. Mkono kutoka nje ndo utampa Lipumba pesa kama vile ulivyompa Lipumba ulinzi lakini ukamnyima Maalim Seif na kundi lake wakati Maalim ni kiongozi wa kitaifa aliyewahi kutembea kwa motorcade!Mkuu luzuku hapewi mtu ruzuku inakwenda kwe a\c ya chama na wakuuitoa ni mhasibu ambaye nae hawapatani na huyu lipumba so kuhusu ruzuku hapo hawezi kupata
Unachofeli ni kutambua kuwa CUF ni taasisi huwez ukaamka asubuhi tu ukamfukuza mfanyakaz wa taasisi alafu alipo hapo hafanyi lolote kwasababu anajua kuwa hayuko kihalali hapo, kama anajiamin kuna mkono wa nje utamsaidia kwanini asitoke ofisini then wakalinda police?Mhasibu anatimuliwa na kuletwa mwingine, yaani kutimua mhasibu ni kazi ndogo kwa mwenyekiti. Mhasibu hayumo kwenye katiba ya CUF-hivyo anatimuliwa kirahisi tu. Pia suala la CUF lilikuwa rahisi sana kama lisingekuwa na mkono kutoka nje. Mkono kutoka nje ndo utampa Lipumba pesa kama vile ulivyompa Lipumba ulinzi lakini ukamnyima Maalim Seif na kundi lake wakati Maalim ni kiongozi wa kitaifa aliyewahi kutembea kwa motorcade!
Kwa mfano tu hivi nani anasaini mpunga wa kuendesha chama kale wanasemaga RUZUKU?Nawaza kwa sauti mkataba wa pango Prof atakuwa kajifungia nao. Kama ni hivyo inakuwaje?
Duh hayo makomeo aliyojipigia kwa mlango kweli hatoki mtu hapo
Hebu iacheni ccm in ujinga wenu cuf tuu ccm haihusiki na migogoro yenuHuyu anafanya haya na Haguswi, Mliona Polisi Juzi Wakiwakamata Watu aliodai Wanakuja Kumfanyia Lipumbavu Fujo, Lakini Lipumba na Wahuni Wenzake ambao Ndio Wanaovunja Sheria Hawaguswi. Hata waliotaka Kuteka na Kuuwa Mhasibu husikii walifanywa Nini. Na Lipumbavu hawaguswi na Polisi Kwa Kuwa ametumwa na Magufuli Kwa Mgongo wa Msajili Kufanya Ushenzi anaoufanya, Kwanini Nasema Hivi? Ingelikuwa Ni Msajili Peke yake, Polisi wako chini ya Msajili? Bado wangeweza Kulinda Amani Kama wanavyojitapa (Wameambiwa wasimguse na Msajili hatumagi polisi)
Ningekuwa Mimi Ndio Akina Seif na Mtatiro, Lipumbavu angeshakuwa Swahiba wa Kolimba siku Nyingi. Maana huu Uhuni Unaoendelea Tanzania na Afrika Ni Kama Ule wa Dawa ya Jipu Ni Kulitumbua, Upole na Kubembeleza Hausaidii tena. Na Wapinzani Wajue Mapema Wahairishe Mapema Kutumia Ubunge Kama ajira Maana Kama Wana akili Kuingia Uchaguzi 2020 Na CCM ambao wameshapora Nchi ya Kuifanya yakwao, Itakuwa Ni Kuwahalalishia Ushindi Bandia!
Sawa. Kama CUF ni taasisi basi itakuwa na wahasibu wengi na sio mmoja tu. Lakin nadhan cha msingi ni kujiuliza nan signatory wa akaunti za CUF? Unataka kuniambia Sakaya-Naibu Katibu Mkuu bara na Lipumba Mwenyekiti hawawezi kutoa hela benki? Mbona Mtatiro akiwa Naibu Katibu Mkuu alikodi helkopta uchaguzi wa Igunga?Unachofeli ni kutambua kuwa CUF ni taasisi huwez ukaamka asubuhi tu ukamfukuza mfanyakaz wa taasisi alafu alipo hapo hafanyi lolote kwasababu anajua kuwa hayuko kihalali hapo, kama anajiamin kuna mkono wa nje utamsaidia kwanini asitoke ofisini then wakalinda police?
Mkuu sasa hivi nani awezaye kufanya maandamano yanayo lindwa na polisi Kama si CCM?Hebu iacheni ccm in ujinga wenu cuf tuu ccm haihusiki na migogoro yenu
Nimeipenda hii Propesa ................!!!Sasa Pro-Pesa unamuongoza nan huko ndani! ?
Kweli ww ni PRO-PESA li-PUMBA.
CUF gani? Mshindi wa vita tayari ameshajulikana sio mwingine ni shujaa wa unyanyembe professa H.lipumba.tuangalie namna gani CUF itashinda war
Ndiyo professa mzima kweli kweli,sio kama mcheza disco wenu.Profesa mzima!
KAMWE! HARUDI PROFESSA WATARUDI WAO PEMBA.Lipumba rudi ilalangulo.