Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,468
- 29,910
Acha njaa ikae tumboni ila ikihamia kichwani ni hatari sana..
Professa reggae kwake sio ishu,watu wa ilolangulu hutembea kwa miguu hata masaa kumi.Namkumbuka leprofesseri alivoenda ikulu kumtembelea JPM shati likiwa limeoa majasho sijui alitembea kwa mguu!
Aisee ni sheedaZiko kumi na nje watu wanaota moto..halafu wazushi wakitia timu panga zinatembezwa.
Tetee...nimependa ilo jina jipya la upande mwingine.Ngoja vijana wa LB7BOMBADIA waje kumtetea,
Tetee...nimependa ilo jina jipya la upande mwingine.Ngoja vijana wa LB7BOMBADIA waje kumtetea,
Umelipendaeeh!!linyonye bhasi..Tetee...nimependa ilo jina jipya la upande mwingine.
Duuuuuuuuuu! Ha ha ha ha haaaaaa ! Nimecheka sana leo! Bila ubishi hii ya prof ni ya aina ya pekee Duniani. Mhh kazi kweli kweli.Ilikuwa kama utani,lkn sasa ni ukweli kuwa Prof Haruna Lipumba habanduki Ofisi za Chama Buguruni kwa woga wa "kupoteza" kiti chake.Sasa Prof analala na kuamka humo humo bila kutoka.Ndani ya jengo la ofisi hizo,vyumba vingi vya ofisi kwa sasa si ofisi tena bali ni vyumba vya kulala walinzi na mabaunsa wa kulimlinda Professeri.Mlangoni kufuri lukuki kama geti la magereza
Buguruni haaingiliki,ni mwendo wa mundu,shoka na mapanga ndani ya ofisi.Hali hii viongozi wa Mpito wa CUF wanasema wametoa taarifa polisi na hakuna hatua zinazochukuliwa.Ujio wa Maalim Seif,Wabunge na viongozi wa muda umeshindikana baada ya kupata taarifa kuwa ndani ya jengo hili kuna kambi ya "karate",kunfuu na judo ya vijana ambao ni "walinzi" wa jengo na Profesa ambao wanasubiri kwa hamu wale waliomuondoa Lipumba wasogee wapate cha moto.
Sasa ni tetesi,CUF ya kina Mtatiro imerudisha jengo kwa mmliki ambae nae ametoa siku kadhaa kutaka jengo lake na hivyo Lipumba kutakiwa kuhamisha "makao" yake na kwenda sehemu nyingine kutafuta ofisi.
Ama hakika hali ya Buguruni bado si shwari...Lipumba analala na kuamka,anaoga na kupauka bila kutoka nje ya uzio wa ofisi hizo.Kweli kila siku Afrika,ajabu jipya huzaliwa.
View attachment 409660
Hakuna matani hapo,kwanza ndio ugali wa walinzi na wafiachama ndo umeiva silaha chini tonge mdomoni.watu wanatroti.Eti Prof.... kama utani vile
HAISAIDII KITU, MAPINDUZI YA KWELI YAMEFANIKIWA, WATANZANIA WAPENDA AMANI.TUKO NA HUYU SHUJAA.Propesa Lipumbavu Katika Ubora Wake 😀😀😀😀😀😀😀
Hata choo cha ofisi haingii,hamuamini mtu yoyote,shughuli ni kwenye mfuko wa rambo halafu mambo dirishani,wafuasi wanabeba wanapeleka kunakostahili.Huyu mzee! Kwa hiyo kila siku ananyea choo cha ofisi? Ila anatia aibu kinoma.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Duh hayo makomeo aliyojipigia kwa mlango kweli hatoki mtu hapo
Halali nao,wanamlinda.Propesa Lipunga asije tu akabebeshwa mimba na hao vijana anao lala nao ofisini