General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,187
Mkuu Tablet si mzigo?Mafanikio ni kitu relative son,kama mtu katoka kwenye flipphone jana kapata iPhone leo anaweza kuona mafanikio.
Wakati watu tunazitafuta flipphone kwa sababu zinakaa na chaji wiki nzima, hayo mengine ya iPhone tutayafanya kwenye tablets na laptop.
Kama unaona mzigohata simu inawezakuwa mzigo, kuperuzi JF unaweza kuunganisha kwenye miwani tu.Mkuu Tablet si mzigo?
Kwanini usiwe na sim ndogo na ka Samsung kakuperuzi JF?
hahahahaaKama unaona mzigohata simu inawezakuwa mzigo, kuperuzi JF unaweza kuunganisha kwenye miwani tu.
Hio conversation ndio maana kule kule maana nilijua haitakwisha kwasababu kuna watu wanaamini wakijuao wao ndio utaratibu dunia nzima.
Hizo simu za bure nilikuwa nachukua then 'nazipoteza' aka nazituma bongo watu wanatumia, sasa nashangaa unlocked kuonekana big deal!
Back then inakuwa na insurance, na claim imepotea kumbe nimeituma bongo napewa ingine mwisho wakaniambia ukipoteza tena hupati simu ingine.
Unaifunika na leso mkuu isionekane...nadhani ni kasumba tu kwamba ukitumia kitu ambacho wengi hawanacho unaonekana kama unajionyeshaKwahyo mlitaka hata meseji tuandikie ziko kwenye mikoba au mfukoni tuwe tunaficha Sema hiv iPhone ikitolewa nje ikashikwa mkonon kuandika meseji au kuongea hata uwe chato halafu niko dar unaiona tuuuu tunda linapendeza sana
Hakusoma mwanzoni kule maelezo,au tushushe nondo za GSM na CDMA au mambo ya at&t T-mobile and blah blah za ughaibun [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nini kinaendelea wapi sasa!!!kwamba demu alizimika kukuona na iphone 5s[emoji38].hata ingekuwa ni leo kazimikia iphone x ulitakiwa kusikitika.sio kufurahi.Sio nahisi ukweli ndio huo mimi ni mme na hio user name ni yangu na sahihi kabisa sasa unahisi nini ukweli utabaki pale pale tu ndugu yangu .Iphone iko vizuri sana japo kwa sasa natumia xiaomi note 4ila sihitaji matusi yako wala kunidhihaki ila moyoni utakua unajua nn kinaendelea
Hiyo itakuwa sio iPhone mkuu na lazima itakuwa inatumia charger zetu zileFake mkuu
UNA NISHAURI NINI LABDA NDUGU MAANA PENGINE IQ ZETU NI NDOGO KUKOMENTI HIVO KUMEKUBOA AUNini kinaendelea wapi sasa!!!kwamba demu alizimika kukuona na iphone 5s[emoji38].hata ingekuwa ni leo kazimikia iphone x ulitakiwa kusikitika.sio kufurahi.
Anyway endelea kuwang'oa na iphone.
Hapana kinachowasukuma watu wa iphone kuonyesha simu chooni ktk selfie hakipishani na wale jamaa wa kuzungusha funguo za gari.Unaifunika na leso mkuu isionekane...nadhani ni kasumba tu kwamba ukitumia kitu ambacho wengi hawanacho unaonekana kama unajionyesha
Ila naona tablets na hata laptops muda si mrefu zitakuwa obsolete aisee.Kama unaona mzigohata simu inawezakuwa mzigo, kuperuzi JF unaweza kuunganisha kwenye miwani tu.
Una click link ku wink.
Mimi sijaona kwamba IQ yako ni ndogo,ila ukiwa kama mwanaume,achana na dhana kwamba iphone inakupa status yoyote.labda kama uko below 18yrs.hii ni simu tu,itabaki kuwa hivyo,unaweza toa ktk daladala iphone x,demu uliekaa naye pembeni akatoa x na note 8 wakati huo huo.UNA NISHAURI NINI LABDA NDUGU MAANA PENGINE IQ ZETU NI NDOGO KUKOMENTI HIVO KUMEKUBOA AU
HAPO UMEELEWEKA ZAIDIMimi sijaona kwamba IQ yako ni ndogo,ila ukiwa kama mwanaume,achana na dhana kwamba iphone inakupa status yoyote.labda kama uko below 18yrs.hii ni simu tu,itabaki kuwa hivyo,unaweza toa ktk daladala iphone x,demu uliekaa naye pembeni akatoa x na note 8 wakati huo huo.
Ndio maana wabishi wameenda mbali zaidi,wao wana satelite phone za milii 15 na zaidi.
[emoji7] [emoji7] simu iliyokuwa na kifurushi chake.BlackBerry baby....
Hizi standard sijui mnatoaga wap kwan kua na sim ya mil 2 na ukapanda boda boda shida iko wapi Utanzania n mzigo sana Ulitaka wenye magari ndo wawe na iphone mbona kwenye manual ya apple uki unbox hakuna mahala wanasema usitumie usafir flan na shida yenu mnataka mtu akiwa na ela ajioneshe
Watasema hata ugali usile ss