Contract yao wanakupa free phone with a package for $60 per month (mfano) then unatakiwa utumie hio simu na package for 18 or 24 months,baada ya hapo unaweza kufanya chochote.Well, that explains it then.
But I also had a feeling that there was a catch somewhere and voila..you said it: the contract.
The game is different in the US.
I don't know of any carrier who gives out newly released phones for free. Do you know any [in the US]?
Halafu mambo ya long term contract US siku hizi hayapo na ndo maana sim-free factory unlocked ni dili....
Watu hawaoni haja ya kuwa tied na carrier mmoja kwa miaka.
Niko na Verizon ukinitibua naenda zangu T-Mobile najiunga na BYOD plan...unlimited data, minutes, etc.
BYOD=bring your own device...na namba yako inabaki kuwa ileile.
More freedom for the consumer.
Contract yao wanakupa free phone with a package for $60 per month (mfano) then unatakiwa utumie hio simu na package for 18 or 24 months,baada ya hapo unaweza kufanya chochote.
Sim-free zipo kama uko tayari kutoa $$$ kulingana na bei.
Nianze na fasili kwanza maana wengi wenu nyie 'millennials' hamjui lugha. Iwe Kiswahili au Kiingereza, hamko vizuri kivile. Ni wababaishaji tu😀.
Taashira maana yake ni ishara/ au dalili. Naamini mnajua maana ya ishara na dalili.
Sasa kuna jambo nimeliona ambalo ningependa kusikia maoni ya wengine kulihusu.
Hivi hapa bongo iPhone ni ishara ya hadhi [ya juu]? Nauliza hivyo kwa sababu nimeshapigwa sana mizinga ya 'Ngabu naomba niletee iPhone basi...hata kama ni iPhone 5 au iPhone SE'.
Kwa nini iPhone kwa sana na si Samsung, LG, Motorola, au zinginezo?
View attachment 632283

Kama namekuelewa hiviiiiUSIKUBARI KUENDEKEZA UMASKINI, HAUNA HURUMA NA WEWE ILA WEWE NDO UNAPASWA UJIONEE HURUMA, NDO MANA UNAWEZA UZALIWE MASKINI, UKUE MASKINI NA UFE MASKINI.
Swala ni kufurahia maisha haijalish una njaa au laa!, binafsi nimpenz sana wa NOKIA, nikikuambia nilisha nunua simu ya BATAN online mpaka naipata ilinigharimu lak 6, ilikua Nokia E6, mpk jamaa yng akanishangaa alipoiona kwa sbb kwa kpnd kama hiki laki sita ningepata smartphone nzuri tu, Lakn mimi furaha yng ni kupata ninachokipenda sio kinachopendwa na weng. Nikaja kununua MICROSOFT LUMIA 950 xl, kwa 1.2M, sio kwamba nina uchumi mzuri au hiyo hela ninawezaipata ndan ya wiki, la hasha. Ila Siwez kukubali kukosa vyote, yan nikose pesa na furaha piaa???, Aaa hapo tutasameheana. Kwaio kama wewe unatumia tecno na unafuraha nayo, hio inatosha ila kama unatumia kwa ubahiri wako pole yako, mimi ni Mpare ila ujinga huo sina. BTW ninacho amini ni mstari mwembamba sana unaomtenganisha Mbahili na mchoyo au mbinafsi.
MWISHO: FURAHIA MAISHA SASA, HUNA MKATABA NA BWANA WEWE. Shenz typ.
Mimi natumia IPhone
Moja ya Faida ya IPhone siazimwi Charger.
Nilihama Samsung kwa kero ya kuazimana charger na team techno
Nianze na fasili kwanza maana wengi wenu nyie 'millennials' hamjui lugha. Iwe Kiswahili au Kiingereza, hamko vizuri kivile. Ni wababaishaji tu😀.
Taashira maana yake ni ishara/ au dalili. Naamini mnajua maana ya ishara na dalili.
Sasa kuna jambo nimeliona ambalo ningependa kusikia maoni ya wengine kulihusu.
Hivi hapa bongo iPhone ni ishara ya hadhi [ya juu]? Nauliza hivyo kwa sababu nimeshapigwa sana mizinga ya 'Ngabu naomba niletee iPhone basi...hata kama ni iPhone 5 au iPhone SE'.
Kwa nini iPhone kwa sana na si Samsung, LG, Motorola, au zinginezo?
View attachment 632283
Halafu wamiliki wa iPhone wanapenda kuionesha onesha kwa mbwembwe sana.
mzee nina iphone 5s nlinunua sikumingi sana na sijui spana wala kustakstak....nna kitecno pemben nimenunua juz kinastakstak kama kina kifafa..kama mtu amewah kutumia hiz platform, i mean ios na adroid anajua nnachosema......Cheap is Expensive & Expensive is cheap
Tecno ni cheap ila maudhi yake ni expensive,!
Iphone ni expensive ila maudhi yake ni cheap! Kwa. Vichwa maji a.k.a Vilaza hapa namaanisha ukinunua Tecno ukaishi nayo miaka 3 basi upewe ballon d'or ya kumiliki Tecno kwa muda mrefu coz hapo katikati utaifanyia matengenezo yatakayozidi gharama ya Iphone mpya ambayo inaweza kuishi over 3 years bila matatizo ya aina yoyote! Hapo ndo utajua Cheap is Expensive & Expensive is Cheap
NB: karibuni kwenye jukwaa la wazee wa kubeti, nabeti ili ninunue iphone 6s+ kwa sasa nina 5s niliinunua kwa mtu ina mwaka wa 3 huu
Ukiwa na Mercedes Benz kwny harusi unaenda ku block Gari ya Bwanaharusi Halafu unajificha kwny Kundi la wasiokujua, utaskia mwny namba T 665 DCK Aina ya gari ni Mercdes Benz anaombwa atoke Nje kuna Tatizo kidogo sasa hapo ndo unaanza kutoka kwa kuzunguka mbele pale kwny keki huku unarekebisha Funguo kwny lux ya Mkanda kila Mtu a kutambue
Sasa hapo waliokuja harusini kwa Uber lazima wakupige madongo ,
Masikini wengi wana roho mbaya japo Sijui Mahusiano ya roho mbaya na Umaskini wetu
X baby[emoji631] [emoji631] [emoji631] [emoji385] [emoji385] [emoji385]Yani kitendo cha kuianzisha thread hapa JF tayari ushaipa status ya juu kabisa,kwakweli iPhone mahaba yake sio ya nchi hii kwanza lile tunda pale nyuma wacha weeee,kingine ukishika mahala pako na watu wengi tayar watakupa status yako kua we sio mtu wa sport sport kingine ukianza tumia iPhone huwez acha ina levya zaidi ya cocaine TEAMAPPLE. Mahaba to the moon and back.
iphone mshamba tu kea xiaomi