Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
Pole lakini ninafahamu baadhi ya member wa JF si ajabu wakasema bora angekufa kabisa kisa anawakera.
Kibonde sikuhurumii mdogo wangu, umekua ukilalalamikiwa sana na WaTz wenzio, hasa wazalendo, umekua kipofu asie na macho wala fikra, umekua duni kifikra na kimtazamo, umekua malaika wa shetani kati ya watakatifu watafutao ugali wao wa siku, umeitumia radio kama fagio la kupumbaza bongo zao. leo wajibika kwa laana zako, sikuhurumii , SIKUTAKII AMANI HATA CHEMBE.
ahaaa ndugu nafikiri ukisema umuhurimii kwa sababu ya kauli zake na pengine watu wanavolalamika kwa kaluli zisizo nzuri unakosea, hapa amepata ajali kama mwanadamu lazima uwe na huruma , lakini kama ajali imetokana na ulevi... hapo kweli hakuna huruma kwani ni uzembe wa kunywa pombe na kundesha... ulive nooooooooooooooooooooma..
Kibonde sikuhurumii mdogo wangu, umekua ukilalalamikiwa sana na WaTz wenzio, hasa wazalendo, umekua kipofu asie na macho wala fikra, umekua duni kifikra na kimtazamo, umekua malaika wa shetani kati ya watakatifu watafutao ugali wao wa siku, umeitumia radio kama fagio la kupumbaza bongo zao. leo wajibika kwa laana zako, sikuhurumii , SIKUTAKII AMANI HATA CHEMBE.
SIKUUUNGI MKONO..........hata kama tunamchukia lakini hatutaki afariki...............ROHO YA MTU NI MALI KULIKO KITU CHOCHOTE....apone haraka aje tugombane upyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, NDIYO MAISHA YALIVYO, HATUWEZI KUWA NA MAWAZO SAWA
badilika, badilika ndugu; jiweke wewe kwenye kiatu chake, ungekuwa wewe ndo hupendwi namna hii ungejiskiaje.. Mungu akusaidie ujue kuwachukulia watu walivyo, kumbuka, hakuna mtu anaweza kuwa kama wewe, kila mtu anatabia yake, jua kupenda wote.. ingawa viwango vya upendo vitatofautianaumeishaambiwa alikua amelewa, kisha mimi sio malaika kusema nisiwe na hisia za kumwombea mabaya, mimi sio yule ageuzaye shavu , damn .
mimi kila awashawishie WaTZ Kuwa watawala ni watu wema, ni mtu hatari sana, hata akifa maiti yake izikwe hata kwenye shimo la choo. simuhurumiii, sikulazimishi uwe na hisia zangu.
Kibonde sikuhurumii mdogo wangu, umekua ukilalalamikiwa sana na WaTz wenzio, hasa wazalendo, umekua kipofu asie na macho wala fikra, umekua duni kifikra na kimtazamo, umekua malaika wa shetani kati ya watakatifu watafutao ugali wao wa siku, umeitumia radio kama fagio la kupumbaza bongo zao. leo wajibika kwa laana zako, sikuhurumii , SIKUTAKII AMANI HATA CHEMBE.
badilika, badilika ndugu; jiweke wewe kwenye kiatu chake, ungekuwa wewe ndo hupendwi namna hii ungejiskiaje.. Mungu akusaidie ujue kuwachukulia watu walivyo, kumbuka, hakuna mtu anaweza kuwa kama wewe, kila mtu anatabia yake, jua kupenda wote.. ingawa viwango vya upendo vitatofautiana
habari mbofumbofu hii
mkeo akipata ajali utamleta hku?[/QUOTE]
We bwana wewe, Unamaanisha kuwa na Kibonde ni mke wa watu pia eeh???? Hebu tupashe basi!
Tatizo sijawahi kusikiliza,clouds fm kwani huwa anasemaje????? Msaada pleeeese.