Kibonde apata ajali Moroco

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
DSC06292.JPG

gari-lake-kibonde-1.jpg
 
Ilikuwa jumapili usiku katoka kupata kilaji ufukwe wa coco
 
mabaya yatokeapo kwa watu wengine huwa hayawekwi hadharani mpaka yampate so-called CELEBRITY...!
1.MUULIZENI, GARI LAKE KUTOKA HAPO MOROCCO HADI (nadhani)OYSTERBAY POLISI kwa BREAK DOWN WALIPATANA?
2.JE MCHORO WA AJALI.....NDIVYO ULIVYOKUJA KUONEKANA SIKU YA PILI? PAMOJA NA MAELEZO YEKE? (kama hakumalizana)

MAWAZO YANGI; Gari iliyopata ajali,trafiki wasishinikize kwa lazima lipelekwe kituoni bila ya kupatana! Itafutwe njia ambayo haitaleta kero HASA KIPINDI HIKI CHA POLISI-JAMII
 
Jahazi limezama kwny traffic lights. Kibonde pole wee, siku nyingine ukumbuke kunuwea nyumbani ni salama zaidi.
 
Chonde chonde ulevi nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Hili tangazo linamaana sana tofauti na wengi wetu tunavyodhani. Nadhani inafaa itungwe sheria kama umepata ajali ya gari au pikipiki polisi makithibitisha ulikuwa under alcoholic influence basi unyang'anywe leseni yako. Tutasaidia kupunguza ajali za stori za vileo vyovyote vile.
 
e+kibonde.JPG

Kibonde sikuhurumii mdogo wangu, umekua ukilalalamikiwa sana na WaTz wenzio, hasa wazalendo, umekua kipofu asie na macho wala fikra, umekua duni kifikra na kimtazamo, umekua malaika wa shetani kati ya watakatifu watafutao ugali wao wa siku, umeitumia radio kama fagio la kupumbaza bongo zao. leo wajibika kwa laana zako, sikuhurumii , SIKUTAKII AMANI HATA CHEMBE.
 
Back
Top Bottom