mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 559
Akitangaza katika kipindi cha jahazi, mtangazaji Kibonde ameiponda tuzo ya Mo Ibrahimu inayotolewa kwa viongozi/marais wa Africa wanaofanya vzuri katika uongozi wao.Ameielezea tuzo hiyo kuwa ni ya kisiasa zaidi isiyo na tija. Katika maelezo yake Kibonde anahoji kwa nini zitolewe fedha?kwa nini iwe ni kwa marais wa Africa na c Ulaya? Kwanini pesa hizo zisingetolewa tu kwa Ngo's yeyote kusaidia maendeleo? Tuzo hiyo mwaka huu imetolewa kwa aliyekuwa rais wa visiwa vya Carpe Verde Bwana Pedro Verona.
Upeo wake ndo umefikia mwisho wake hapo, tusimlaumu sana! atakuja kuigharimu sana clouds fm pindi utawala ukibadilika!
Akitangaza katika kipindi cha jahazi, mtangazaji Kibonde ameiponda tuzo ya Mo Ibrahimu inayotolewa kwa viongozi/marais wa Africa wanaofanya vzuri katika uongozi wao.Ameielezea tuzo hiyo kuwa ni ya kisiasa zaidi isiyo na tija. Katika maelezo yake Kibonde anahoji kwa nini zitolewe fedha?kwa nini iwe ni kwa marais wa Africa na c Ulaya? Kwanini pesa hizo zisingetolewa tu kwa Ngo's yeyote kusaidia maendeleo? Tuzo hiyo mwaka huu imetolewa kwa aliyekuwa rais wa visiwa vya Carpe Verde Bwana Pedro Verona.
Kibonde nlikuwa napenda kipinda chako cha Jahaz bt baada ya kuanza kuponda wanafunz wa chuo nkaona kwel we 4m 4 yenye 4datz y
Yan we ni kiaz hak,kwel badala ya kupongeza 2naskiliza asb vpnd mapema vya Magic na wanadisc mambo muhimu we utahila 2
Ushanu2lia ckuiz unajifanya kupendelea magamba yatakutokea puan a2taki ushabiki wa kijinga
Haya toa ya kwako
Tatizo unaongea sn mpk nonsense
Kibonde unanichefua ile mbaya bado 2 ku2tema na ku2zaa
Damn!Clouds fm 2 allow dis man kuponda u2mbo
Udsm kiboko yak
Kibonde anashika nafasi ya kwanza katika orodha ya wana-ccm wanaofikiri kwa kutumia masaburi. Besides, inamuuma kusikia kuwa mkulu, licha ya kupewa hadhi zote ikiwemo kugonga kengele katika soko la hisa la Nasdaq, kupiga picha na 50 cent (eti kisa kuazimisha miaka 50 ya uhuru), kupresent UN kuhusu mambo ya wamama, lakini mtu wa bagamoyo amepotezewa kotekote kuanzia Tuzo ya Amani ya Nobel mpaka na sasa Tuzo ya Mo. Mwaka huu WAMA imekula kwenu.